Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari ndugu zangu. Mimi ni mtanzania mwenye umri wa miaka 30, kiwango Cha elimu (FEDHA & UHASIBU, NTA-5; pia OFFICIAL STATISTICS, NTA-5). Changamoto ya kiuchumi inanifanya nizidi kuchukua mda...
2 Reactions
8 Replies
626 Views
Chuo hiki kinamilikiwa na Wizara ya Ujenzi. Chuo hiki hakiwalipi wakufunzi wake, hakuna workshop na ukizingatia kinatoa Diploma kwa course za engineering. Wazazi kuweni makini hiki chuo kinafaa...
0 Reactions
0 Replies
269 Views
Shuleni waalimu wanafundisha kuwa uwepo wa dunia ni matokeo ya kuibuka, na sisi tulitokana na sokwe!.... Je, wewe unafahamu nini kuhusu chanzo Cha dunia hii na sisi Binadamu?
1 Reactions
6 Replies
332 Views
Ninasoma degree ya economics open hivo natafuta mwl wa kuni brash kwa malipo tutakayokubaliana. NIPO LINDI Simu 0688 229 455
1 Reactions
2 Replies
278 Views
Habari wadau, Mwanafunzi wa UDSM kutoka department ya Creative Arts maarufu kama Plaboe ametangazwa best student katika mahafali ya chuo Kikuu cha Dar es Salaam ya mwaka 2023. Kijana huyo...
18 Reactions
144 Replies
10K Views
Umeshawahi kukutana na swali linakudhalilisha hadi unajiuliza kama ulisoma au ulilizwa? Basi leo nakuletea beast yenyewe, yenye kuhitaji hesabu za ukweli, concept za deep physics, na akili ya...
2 Reactions
16 Replies
856 Views
Leo nimekumbuka historia hii kama kumbukumbu: Chuo Kikuu cha Dar es Salaam almaarufu kama UDSM kilianzishwa mwaka 1961 kikiwa na kitivo kimoja tu cha Sheria. Kilianzia Lumumba na sasa Mwalimu...
10 Reactions
131 Replies
64K Views
Hi student? Jamani mi ni mzoefu na chuo .. Kwanza najua kila mmoja anapojiunga na chuo mawazo yake huwa ni kupata 1st class yani GPA 4.4-5.0 lakini kiuhalisia ndoto zao hupotea wanapokuja...
6 Reactions
177 Replies
26K Views
Kama ilivyo hapo kwenye heading Naomba msaada kidogo wakuu hapa Nashindwa kuelewa Haya madaraja ya GPA ya vyuo vikuu yakoje, Mfano first class inaanzia ngap mpaka gap , second class n. k Naomba...
2 Reactions
13 Replies
17K Views
Wakuu habari , thread hii nimeanzisha makusudi kwa lengo la kusaidia walimu na wanafunzi wa kidato cha nne ambao wanajiandaa na mtihani wa TAIFA (NECTA). Here we go!. Mimi nitatoa hints au...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Anonymous
Shule ya Tusiime iliyopo Tabata jijini Dar es Salaam inadaiwa kuajiri walimu kutoka nchini Uganda (zaidi ya 50), kinyume na Sheria ya kuratibu ajira za wageni nchini ya 2015, lengo likitajwa...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Nina wadogo zangu baadhi wameamua kwenda kuanza mapema kusomea Taaluma vyuoni. Nikiwa kama mtu mzima ninayezijua changamoto za wahitimu wa sekondari kupata wakati mgumu kuchagua taaluma ya...
3 Reactions
63 Replies
3K Views
Wakuu naomba Ushauri. Nahitaji kusoma shahada ya Kwanza (Degree) ila nina vikwazo vifuatavyo; Muajiriwa Serikalini nina miezi 7 Nipo mbali na vyuo Naitaji kusoma kwa Siri asijue mtu Kazini. Nipo...
0 Reactions
7 Replies
864 Views
Wandugu habarini za leo? Naomba kwa mwenye ideas na Masters of Project Management toka Chuo Kikuu Huria Tanzania, nahitaji kujua upatikanaji wa materials, lecturers na changamoto zilizopo pia...
6 Reactions
68 Replies
29K Views
Kuna taasisi nyingi hivi sasa ni agents wa vyuo vikuu nje ya nchi,kama kuna mtu mwenye ushuhuda kuhusu ukweli wao kama sio matapeli naomba anifahamishe kabla sijafanya maamuzi,,,hususan TASSAA na...
6 Reactions
53 Replies
8K Views
Ndugu wanajamvi naombeni mwenye uelewa wa kozi mbalimbali ngazi ya certificate na Diploma zinazotolewa na Alison Online je cheti chake kinatambulika Duniani kwenye ajira au kujiendeleza?
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Faidika na fatwa mbalimbali za masheikh wakubwa wa Kisunni kama vile: Sheikh Al-Albani Sheikh Ibn Baaz Sheikh Ibn Uthaymiyn Sheikh Muqbil Sheikh Fawzan Fatwa hizi zipo katika mfumo wa video...
1 Reactions
0 Replies
514 Views
Habari wanajamvi Naombeni tujuzane juu ya uzuri wa course ya Information Technology (IT) ni vipi unaweza kujiajiri na pia kama utaajiriwa unafanya kazi wapi? Karibuni[emoji116] [emoji116] [emoji116]
4 Reactions
36 Replies
33K Views
Tangazo hilo hapo By the way, ada ya law school ni kiasi gani? My Observation...kozi zote walizoziweka, unazisoma zote darasani 1st year to 3rd year. It is like a repetition..why that repetition?
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Samahani ndugu zangu, mwenye uelewa kuhusiana na foundation course naomba ufafanuzi, na pia ni vyuo vipi vinavyo toa hiyo course kwa Masomo ya Mathematics na chemistry (Education)
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Back
Top Bottom