Hello habari,
Malalamiko yamekuwa mengi kwa wanafunzi wa clinical officer kwa vyuo vingi hapa Tanzania, wanafunzi wanafelishwa makusudi, vyuo vingi wanaopata pass hata robo ya darasa hawafiki...
Yo, watanzania wenzangu, especially walimu wa hesabu...
Let’s be real, you’ve been feeding kids the same old sht for decades. Pythagoras this, Quadratic that, kama vile hiyo crap ndio mwisho wa...
Habari wakuu,
Naomba kujua hivi mtu aliyesoma diploma ya dental therapy/ Dental Technology anaruhusiwa kufungua clinic yake mwenyewe kwa kutumia cheti chake?
Naomba pia kujua changamoto kubwa au...
Sasa hebu tuongee real talk, no filters, no sugarcoating – straight up raw! Hii kitu mnaita HELSB si msaada tena, ni trap ya mateso. Mnatudhulumu live na bado mnataka tuwaite serikali sikivu...
Habari,
Samahami nimejikuta katika wakati Mgumu sana baada ya mwanangu kumaliza darasa la saba mwaka huu 2024.
Tumekuwa tukivutana na mke wangu sana. Mtoto kapata shule nyingi za boarding...
Wasomi wa Mlimani toka tarehe 29/04-02/05 Wana Mkutano wa kitaaluma wanajadili Uhuru wa Kitaaluma (Academic Freedom) ingawa wenyewe wamefungwa kwenye minyonyoro ya utumwa wa fikra na uchawa
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Charles Mahera, amefunga rasmi mafunzo ya matumizi bora na salama ya vifaa vya TEHAMA kwa walimu wa shule za msingi...
Yaani mnataka kuniambia haki ipo? Sheria iko? Utu unaheshimiwa? F*ck no! Hii system inatuchezea kama clowns. CCM kila siku wanapiga kelele majukwaani eti vijana ni taifa la kesho—yo, what tomorrow...
Kama freelancer au mtu unayefanya kazi za mtandaoni, kuna siku inawezekana ushawahi pokea message au utapokea email au message ikisema, "I’d love to pay you in Bitcoin. Are you okay with that?" Na...
Nimechaguliwa UDOM kusoma bachelor of science in physics.
Nimejaribu kufuatilia naona kama sio ualimu ila wakati nafanya application nilidhani ni education.
Naombeni mnishauri cha kufanya...
Naomba kuuliza kwa anayejua hvi ukisoma basic technician certifucate in pharmaceutical science NTA 4 ukifaulu vizur unaruhusiwa kusoma, level 5, 6 then degree for the same course? Naombeni kwa...
Huyo ndugu yangu kafaulu vzr kidato cha nne akiwa na B kwenye masomo yake ya ufundi kasomea electronics and communication engineering(B) , engineering science (B) na masomo yote ya science ana A...
Hiki unachokiona kwenye picha hapo siyo kwamba watu wapo kwenye shoo ya muziki, hapo ni Ukumbini katika Chuo Kikuu cha SAUT au Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agostino Tanzania (St. Augustine University...
Wanaosoma au waliohitimu Open University of Tanzania (OUT) pale makao makuu Kinondoni hasa Mass Communication na wale wa Journalism, wawe makini, kuna mwalimu ambaye jina lake la kwanza na la pili...
Mdogo wangu wa kike kuniuliza ilo swali sitaki nionekane kilaza. "A former East African and current east African community is like a new wine in old bottle, discuss"
Ukweli mchungu!
Umalaya, ushoga, usagaji, na uhuni umekuwa kipaumbele kikubwa kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kuliko elimu iliyowapeleka huko.
Wengi wanahitimu shahada zao na GPA kubwa za kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.