Kusoma vyuo vikuu nje ya nchi

Mchinox

JF-Expert Member
Jan 20, 2023
232
249
Kuna taasisi nyingi hivi sasa ni agents wa vyuo vikuu nje ya nchi,kama kuna mtu mwenye ushuhuda kuhusu ukweli wao kama sio matapeli naomba anifahamishe kabla sijafanya maamuzi,,,hususan TASSAA na hawa global
Kama kuna mzazi au mtu yeyote amesoma au kumpeleka kijana wake kupitia taasisi hizi kozi ya optometry ,radiology au anaesthesia naomba anifahamishe maana ndio nataka kwenda kusoma kati ya hizo

Shukran.
 
Wala sio matapeli.Kwanza ujue mtoto wako.anataka kusoma nini ,budget yako then unaenda kwa agent .Mimi nilitumia global link education, nakushauri kama ni Mara ya kwanza tumia agent,mimi wakwanza nilifanya.hivyo ila waliofuata huyo wakwanza ndio alimsaidia process mwenzake na.anasoma Sasa.Muhimu Ana credit zinazotakiwa,anaruhusa au Kibali kutoka TCU yaani letter of no objection pia unaweza ku apply TCU hiyo barua unalipia 50,000 tu baada ya wiki mbili unapata hiyo barua kama chuo kinatambulikana.Pia kila mwaka TCU hufanya maonyesho pale mnazi mmoja na vyuo Vingi vya ndani na nje hushiriki so ningekushauri uende maonyesho.ya mwaka.huu
 
Ushauri mzuri chief......
 
Back
Top Bottom