Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Mimi ni mwanafunzi hapo UDSM mwaka wa kwanza kwa bahati mbaya matokeo yangu hayakua mazuri kwa sababu mbalimbali kwaiyo nimedsco. Nilikua naomba msaada wa mawazo wanabodi... 1. Je...
3 Reactions
82 Replies
15K Views
Habarini za muda huu wanajukwaa Kwa wanaosoma chuo kikuu cha kilimo cha sokoine kuna tatizo gani kuhusu bima ya afya? Mimi ni mfanyabiashara mdogo ila nasomesha mdogo wangu SUA ambaye pia ni...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuu Ila Mfumo wa nchii hii wa kutumia kiingereza kama Lugha ya kufundishia Mashuleni Kwa Maana ya Shule Ya Msingi Na Secondary umepitwa na wakati. ...... Ni sawa na kama uko Arusha unataka...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Je, wewe ni mwanafunzi unayetamani kujifunza elimu ya biblia? Je, umekuwa na hamu ya kujifunza elimu ya biblia lkn hujui vyuo vinavyofundisha? Au je, unajua vyuo vinavyofundisha lakini unakosa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Na Thadei Mushi #Darasa la Sita somo la Uraia lina mada inayohusu vielelezo vya Taifa la Tanzania. Mojawapo ya vielelezo vinavyolitambulisha taifa la Tanzania ni wimbo wa Taifa letu ambao ni...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wadau. Nilikua nataka kujuzwa shule bora ya kiislamu ya secondar iwe bweni. Iwe mchanganyiko boys tupu. Itapendeza ukinitajia na ada.
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Hawa bodi ya mikopo hawaeleweki aseh,hivi inakuaje upate mkopo tena first batch na allocation itumwe chuo husika, ila kwenye sheet ya kusaini eti jina lako halipo,hapo loan officer atume tena jina...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
habar zenu wana JF kwa wale wadau wa linguistic/English msaada kuhusu hili swali linataka nini
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu zangu, habarini za mihangaiko. Mm nina maswali mengi sana kuhusu hela/pesa. Nimekuwa nikijiuliza sjapata majibu. 1. Hivi hela zinatengenezwa na na material gan? 2. Na je ni kweli pesa...
2 Reactions
12 Replies
10K Views
Inasemekana HESLB waliamua kureset passwords za accounts za wanafunzi walioomba mikopo na kukosa mikopo kwa awamu ya kwanza mpaka ya nne ili kufanya zoezi la kukata rufaa kushindikana kwa mwaka wa...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari na poleni na majukum marafiki. Najitokeza kuomba msaada kwa mjuzi yeyote aliyetayari kunisaidia kuomba scholarship kusoma nje, vigezo vyote ninavyo isipokua kuna mahala nakua nakwama hivyo...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Sipendi kusoma bongo bongo wanasoma wazee wa karai Sasa mzee ameniambia mwaka huu nile bata tu atanipeleka chuo mamtoni mwakani nikakutane na classic baby sio bongo tudemu vinanuka jasho tu aya...
1 Reactions
65 Replies
5K Views
Habari zenu wana JamiiForums Nilikuwa natafuta tuisheni nzuri ya watoto wangu wa darasa la 6 na la 2. Mahali Temeke, Nipo Buza, Asanteni.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Msaada ndugu zangu nmejaribu mara nyingi kupita kwenye website yao nione masters programmes wanazotoa lakini sijafanikiwa kuona yaan hamna kitu, please nisaidieni wapendwa mwenye kujua zaidi...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Shuleni tulipata kusoma ya kuwa Maada ni kitu chochote chenye uzito na kinachochukua nafasi. Katika yale makundi mtatu ya maada yaani Kimiminika, yabisi na gesi. Jee? Moshi tunaweka katika kundi...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
jamani hichi chuo mie sikielewi nimesoma short course ila nashangaa cheti nilichopewa kimeendikwa university of computing center limited hivi hiki chuo na udsm wana uhusiano gani
1 Reactions
37 Replies
11K Views
Naombeni msaada kwa mwenye kufahamu shule nzuri katika wilaya ya Temeke, Namaanisha kitaaluma na maadili. Pia ukinidokeza na gharama za ada nitafurahi. Huko waliko nataka kuwahamisha maana kila...
0 Reactions
6 Replies
11K Views
KAMPALA INTERNATIONAL UNIVERSITY - DAR ES SALAAM. Chuo kinatoa mafunzo ya Elimu ya juu, kuanzia ngazi ya certificate, diploma, degree na Masters... kwa kozi za AFYA ELIMU SHERIA BIASHARA COMPUTER...
1 Reactions
24 Replies
48K Views
Naombeni msaada wa mawazo. Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wakwanza wa chuo kikuu Dodoma (UDOM). Nilichaguliwa chuoni hapa kusoma BACHELOR OF SCIENCE WITH EDUCATION bahati mbaya sikufanikiwa kupata...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Habari wanajamvi,rejea kichwa cha habari hapo juu. Nimehamia maeneo ya Yombo buza ,hivyo nawatafutia watoto shule nzuri ya private ambayo ni English medium maeneo ya Buza na maeneo jirani. Naomba...
0 Reactions
20 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…