Natafuta shule nzuri za Primary English medium, Wilaya ya Temeke

kichuminyi

JF-Expert Member
Mar 4, 2014
234
173
Naombeni msaada kwa mwenye kufahamu shule nzuri katika wilaya ya Temeke,
Namaanisha kitaaluma na maadili. Pia ukinidokeza na gharama za ada nitafurahi.
Huko waliko nataka kuwahamisha maana kila kukicha walimu wanaikimbia shule, nimedadisi kwa waliopo wanadai mishahara hawalipwi kama inavyotakiwa, miezi mingine hawalipwi hivyo wamekata tamaa.
Msaada please ili nijipanga kwa ajili ya term ijayo.
Maeneo ya Temeke, Mbagala, Chamazi, Tuangoma, Yombo.
 
Back
Top Bottom