Baada ya kuitosa udom na udsm root ya mamton inanukia

Indianapolis

Member
Nov 25, 2018
77
44
Sipendi kusoma bongo bongo wanasoma wazee wa karai
Sasa mzee ameniambia mwaka huu nile bata tu atanipeleka chuo mamtoni mwakani nikakutane na classic baby sio bongo tudemu vinanuka jasho tu aya bata bata nikijiandaa kula mwewe sio udom na udsm wamejazana wavimba macho tu nishaurini chuo gani kipo poa kupigia computer science nataka niwe mnyama apo
 
Anza kusoma hapo UDSM mjukuu wangu, Mzee pesa inaweza kukata au yeye mwenyewewe akakata (Mungu aepushie mbali) lakini angalau utakua mwaka wa pili.
 
Sipendi kusoma bongo bongo wanasoma wazee wa karai
Sasa mzee ameniambia mwaka huu nile bata tu atanipeleka chuo mamtoni mwakani nikakutane na classic baby sio bongo tudemu vinanuka jasho tu aya bata bata nikijiandaa kula mwewe sio udom na udsm wamejazana wavimba macho tu nishaurini chuo gani kipo poa kupigia computer science nataka niwe mnyama apo
Dah unamtegemea dingi mpaka sasa, kweli kuna watoto
 
Nenda huku huku mamtoni wakakushauri pimbi wewe!

Alafu nyie ndio baadae mnakuja kutuomba jero jero za viroba na bange.
 
nenda kale bata hakuna shaka. maana unaenda na mpunga wako ila unavyyongea kurudi sijui! na fedha ya mdingi wako inateketea tu. kasome sio kwenda kula bata.
 
Back
Top Bottom