jembelamkono
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 2,733
- 2,022
Habari wanajamvi,rejea kichwa cha habari hapo juu.
Nimehamia maeneo ya Yombo buza ,hivyo nawatafutia watoto shule nzuri ya private ambayo ni English medium maeneo ya Buza na maeneo jirani.
Naomba wenye uzoefu na maeneo tajwa hapo juu,tupeane taarifa tafadhali.
Wasalaam.