Tumbo Tumbo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 1,278
- 1,553
Wakuu Ila Mfumo wa nchii hii wa kutumia kiingereza kama Lugha ya kufundishia Mashuleni Kwa Maana ya Shule Ya Msingi Na Secondary umepitwa na wakati.
......
Ni sawa na kama uko Arusha unataka kwenda Moshi mjini so unaelekea Babati then Kondoa halafu Singida then unapanda hadi Mwanza unashuka Tabora.
......
Halafu Unaingia Simiyu unatokea West Kilimanjaro unashuka hadi Rombo Mashati unaenda Tanga unachukua boti hadi Zanzibar afu unaingia Dar then Chalinze.
.....
Then Unashuka Wami unaingia Segera, Korogwe, Mombo, Same, Mwanga, Njia Panda, Unakula njia ya Uchira, Kiboroloni, Majengo, Unaingia njia ya Round about ya Jcmc afu ndo uingie mjini.
.....
Wakati ni suala la kuwasha gari unaingia tengeru then Usa, Katiti, King'ori, Kia, Boma, Sadala, Machine Tools, Unakula Njia Ya Mnadani, Mferejini, Maili 6, Memorial, Chagbay then umefika mjini.
.......
Mfumo tulio nao unafanya elimu iwe ngumu mara dufu. Kwanza mtu atumie nguvu nyingi kuelewa lugha afu ndo aje aelewe alichofundishwa.
.......
Ndo maana ubunifu wenye Jukumu la Kusimamia Elimu ya Nchi Hii sjui Tuseme ni mdogo sana, Muda wa kubadilika na kutumia Kiswahili ni SASA!
.......
Samahani Wakuu Hizo Njia Nilizozitaja Zito Ziko Kaskani Mwa Tz.