Natafuta shule nzuri ya kiislamu hapa Dar, iwe boarding

DUMEGUY

JF-Expert Member
Aug 15, 2014
499
206
Habari wadau. Nilikua nataka kujuzwa shule bora ya kiislamu ya secondar iwe bweni. Iwe mchanganyiko boys tupu. Itapendeza ukinitajia na ada.
 
Habari wadau. Nilikua nataka kujuzwa shule bora ya kiislamu ya secondar iwe bweni. Iwe mchanganyiko boys tupu. Itapendeza ukinitajia na ada.
ubungo islamic high school
aljebra high school
Hizi mbili nadhan ada yao inacheza kwenye 2M

ipo nyngne Al-Ihsan iko kigamboni. hii ada yao inacheza kati ya 5M-6m
 
Wewe Bado wa zamani udini unatoka Wapi
ukiona mtu hataki mambo ya dini ujue anataka mambo ya shetani
... mfano dini inakataza uzinzi ila wewe unafanya hapo ujue ndo ushamfata shetan
 
Back
Top Bottom