Hivi UCC ni chuo au kampuni ya UDSM?

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,182
3,547
jamani hichi chuo mie sikielewi nimesoma short course ila nashangaa cheti nilichopewa kimeendikwa university of computing center limited hivi hiki chuo na udsm wana uhusiano gani
 
kwahiyo ulidhani Ukisoma computer cource pale utakuwa na cheti kama cha mwenye degree ya UDSM? Ningeona una hoja ya msingi kama ungesema pale mafunzo yanayotolewa hayana kiwango kinachostahili.
kama unataka cheti cha UDSM nenda kasome computer sayansi pale mlimani na sio vikozi vya wiki 6 unataka uwe na cheti cha chuo kikuu, huo ni uvivu wa kufikiri.
 
Angalia tena, hiyo 'of' nadhani haipo, bali ni "university computing center". Kuwa makini na vitu unavyosoma manake ukiongeza kisichopi inabadili maana. Utupe feed back plz
 
inaitwa "university computing centre" not otherwise.
 
jamani hichi chuo mie sikielewi nimesoma short course ila nashangaa cheti nilichopewa kimeendikwa university of computing center limited hivi hiki chuo na udsm wana uhusiano gani

First, to correct u, it's more likely kuwa cheti chako kimeandikwa UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM COMPUTING CENTRE. Soma vizuri.

Second, to answer your question, UCC SIO chuo( ni ICT training and solutions centre). Na SIO kampuni ya udsm, although most would argue. Ni private company, the most part of which is owned by some UDSM staff. It's just sad kwamba their name and location may(and actually do) deceive most people and lead them to associate it with UDSM.

Bon Chance!!
 
Zamani ilikuwa na association na UDSM academically, ila baada ya kuja ishu za NACTE et al, sasa uhusiano wa UCC na UDSM upo economically zaidi, na si academically. So unaweza kupata cheti UCC lakini kisikusaidie lolote kujoin further UDSM studies. Kuna tudada twingi tu huko uraiani tunawahadaa watu kwamba tunasoma UDSM, kumbe tunaishia kwenye jengo moja tu la UCC !
 
teh teh teh kumbe UCC siyo UDSM? Nimecheka sana.
 
Umefika wakati wamiliki wa UCC wakaweka Disclaimer inayo waonyesha wana uhusiano na UDSM. Nimeona wazazi wengi wana farijika wanapota kuelezea academic delopment za watoto wao ambao wamefanya vibaya masomo ya A level au O level. Wanapoiongelea UCC.wanaongea kwa natumaini makubwa sana as if hicho kikaratasi cha majuma 6 kinaweza kuwa daraja la kuwapeleka kwenye degree studies watoto wao. Ushauri wangu ni kuwa mradi huo utolewe kabisa nje ya compound ya UDSM kwani unakochafua chuo.
 
Majangaaaa! majanga! ...Kumbe UCC ni parasite project inayokula kwa jina la UDSM? hii kali. Hata kwenye matangazo yao wanaonesha logo za UDSM. Ni wakati muafaka hili liwekwe WAZI zaidi ili wadau wajue wanadili na nani.
 
Kwani wakati wa kujiunga walikuambia utapata cheti cha UDSM?

Sent from my BlackBerry 8900 using JamiiForums
 
Angalia tena, hiyo 'of' nadhani haipo, bali ni "university computing center". Kuwa makini na vitu unavyosoma manake ukiongeza kisichopi inabadili maana. Utupe feed back plz
King'asti una akili... ila makosa madogo madogo kama haya usiwe unayarudia! sawa mama?
 
Last edited by a moderator:
jamani hichi chuo mie sikielewi nimesoma short course ila nashangaa cheti nilichopewa kimeendikwa university of computing center limited hivi hiki chuo na udsm wana uhusiano gani

dogo ungesoma degree UDSM ungedisco mwaka wa kwanza,yaani umesoma vikozi vya kufanya kazi stationary afu unataka gamba la UDSM! km ungekuwa ulichana vizuri tokeo lako la advance basi ungekuja chuo bora ulimwenguni
 
Chuo bora ulimwenguni??
 
Mkuu C programming navojua ni kwamba UCC-University Computing Centre. Inamilikiwa na UDSM STAFF ila haimanishi kuwa ukisoma hivo vikozi vya wiki 6 upewe cheti cha UDSM,
na siyo UCC tu wale staff wanavitega uchumi vingi mfano:

Ukienda UDBS wanakitengo chao cha UDEC-University of Dar es salaam Enterpreneurship Centre.

Ukienda COET wana BICO-Bureaul for Industrial Cooperation.

Kingine wale wanaofanya kazi pale hawalipwi na hazina bali wanalipwa na Chuo.

jamani hichi chuo mie sikielewi nimesoma short course ila nashangaa cheti nilichopewa kimeendikwa university of computing center limited hivi hiki chuo na udsm wana uhusiano gani
 
UCC ni private company inayomilikiwa na chuo na ina huduma nyingi tu sio kufundisha tu hata software na Networking. Pia hata Managing Director anateuliwa na chuo. Hivyo ni kampuni ya chuo.
 
jamani hichi chuo mie sikielewi nimesoma short course ila nashangaa cheti nilichopewa kimeendikwa university of computing center limited hivi hiki chuo na udsm wana uhusiano gani
Afadhali wewe umepata Cheti, watu wamesoma Diploma miaka miwili mpaka leo mwaka wa 4 wanapigwa danadana Kati ya UDSM na UCC. Chezea ujasiliamali wewe!
 
Jabulani hahahahahahaha yaani wewe leo ndio umefanya siku yangu iwe bomba maana nimecheka mbavu sina! asante sana!
Zamani ilikuwa na association na UDSM academically, ila baada ya kuja ishu za NACTE et al, sasa uhusiano wa UCC na UDSM upo economically zaidi, na si academically. So unaweza kupata cheti UCC lakini kisikusaidie lolote kujoin further UDSM studies. Kuna tudada twingi tu huko uraiani tunawahadaa watu kwamba tunasoma UDSM, kumbe tunaishia kwenye jengo moja tu la UCC !
 
Last edited by a moderator:
mwambie huyo...!!!!
kwahiyo ulidhani Ukisoma computer cource pale utakuwa na cheti kama cha mwenye degree ya UDSM? Ningeona una hoja ya msingi kama ungesema pale mafunzo yanayotolewa hayana kiwango kinachostahili.
kama unataka cheti cha UDSM nenda kasome computer sayansi pale mlimani na sio vikozi vya wiki 6 unataka uwe na cheti cha chuo kikuu, huo ni uvivu wa kufikiri.
 
Kweli mmekosa kazi

Mada ya tangu 2011 mpaka sasa mnajadili UCC tu?????

Inaonekana UCC inathamani kubwa sana kuliko mambo yenu
 
Mkuu C programming navojua ni kwamba UCC-University Computing Centre. Inamilikiwa na UDSM STAFF ila haimanishi kuwa ukisoma hivo vikozi vya wiki 6 upewe cheti cha UDSM,
na siyo UCC tu wale staff wanavitega uchumi vingi mfano:

Ukienda UDBS wanakitengo chao cha UDEC-University of Dar es salaam Enterpreneurship Centre.

Ukienda COET wana BICO-Bureaul for Industrial Cooperation.

Kingine wale wanaofanya kazi pale hawalipwi na hazina bali wanalipwa na Chuo.

UDEC is part and parcel of UDBS,don't compare the relationship between UCC and UDSM with the relationship between UDBS and UDEC that's wrong perception
 
Back
Top Bottom