Pesa/hela, hivi zinatengenezwaje na wapi?

SSA

Member
Dec 6, 2018
43
17
Ndugu zangu, habarini za mihangaiko. Mm nina maswali mengi sana kuhusu hela/pesa. Nimekuwa nikijiuliza sjapata majibu.

1. Hivi hela zinatengenezwa na na material gan?

2. Na je ni kweli pesa zote zinatengenezwa ktk nchi moja?? Ni nchi gan??

3. Kuna kiwanda cha kutengeneza hizo hela?? Ni kimoja au vingi??? Au zinatengenezwa na benki katika hiyo nchi??

4. Nchi au selikali kama Tanzania inapateje pesa zake,
*Je inaweka order?
*Inalipa ili kupata hizo pesa zake? Na km inalipa inalipaje?

5. Kama zinatengenezwa na nchi moja, Je nchi inayozingeneza hizo pesa inalipwa?? Na nan???
*Kwann ilipwe wakati inatezitengeneza??? Kwann isijitengenezee tu za kwakwe za kutosha Kwa kuwa inafanya ivo??

Naombeni mnisaidie kunitolea utata huu kichwani mwangu.
Thanks.
 
Hili swali lilishaulizwa na kujibiwa humu ndani. Tumia search button kutafuta huo uzi.
 
Liko sehem gn? Nielekeze nanma ya kulipata coz mm sio mwenyej sana wa jf, nimejiunga juz.
Sio mby vilevile km ukinisaidia kulijb tu km hutojali lkn
 
Ndugu zangu, habarini za mihangaiko. Mm nina maswali mengi sana kuhusu hela/pesa. Nimekuwa nikijiuliza sjapata majibu.

1. Hivi hela zinatengenezwa na na material gan?

2. Na je ni kweli pesa zote zinatengenezwa ktk nchi moja?? Ni nchi gan??

3. Kuna kiwanda cha kutengeneza hizo hela?? Ni kimoja au vingi??? Au zinatengenezwa na benki katika hiyo nchi??

4. Nchi au selikali kama Tanzania inapateje pesa zake,
*Je inaweka order?
*Inalipa ili kupata hizo pesa zake? Na km inalipa inalipaje?

5. Kama zinatengenezwa na nchi moja, Je nchi inayozingeneza hizo pesa inalipwa?? Na nan???
*Kwann ilipwe wakati inatezitengeneza??? Kwann isijitengenezee tu za kwakwe za kutosha Kwa kuwa inafanya ivo??

Naombeni mnisaidie kunitolea utata huu kichwani mwangu.
Thanks.
Mie pia nina hamu ya kujua haya maswali
 
Back
Top Bottom