Masomo ya Elimu ya Biblia(Bible Knowledge)

ntagunga

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
652
250
Je, wewe ni mwanafunzi unayetamani kujifunza elimu ya biblia?

Je, umekuwa na hamu ya kujifunza elimu ya biblia lkn hujui vyuo vinavyofundisha?

Au je, unajua vyuo vinavyofundisha lakini unakosa ada ya kuhudhuria mafunzo?

Usiogope, Mungu yu pamoja nawe. Fursa ya kujifunza imewadia. Hutakiwi kulipa chochote zaidi ya muda wako na nauli ya kufika chuo kilipo.

Chuo kipo KANISA LA KRISTO-Magomeni, Mwembechai Dar es Salaam.

Fika hapo ukutane na walimu mahiri wa neno la Mungu ujifunze

Ni bureeeeeee, hakuna ada yoyote.

Masomo ni kwa watu wote, wenye dini na wasio na dini, wanawake kwa wanamne, haibagu, ni kwa watu wote.

Karibu ujifunze neno la Mungu

IMG-20181203-WA0000.jpeg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom