The CIA
JF-Expert Member
- May 5, 2017
- 479
- 478
Inasemekana HESLB waliamua kureset passwords za accounts za wanafunzi walioomba mikopo na kukosa mikopo kwa awamu ya kwanza mpaka ya nne ili kufanya zoezi la kukata rufaa kushindikana kwa mwaka wa masomo 2018/2019.
Tetesi zinadai mpaka sasa hakuna aliefanikiwa kuapeal kutokana na ugumu uliojitokeza kwa wanafunzi hao kushindwa kurecover passwords zao licha ya wao kutumiwa automatic link kwenye email za kurecover passwords zao.
Ushauri:
HESLB wawe wanawarudishia wanafunzi (watoto wa masikini) waliokosa mkopo gharama zao zote za application ambazo zinakadiriwa kufikia 100,000
biashara wanayoifanya niya kinyonyaji