Kalenda ya elimu 2019 (academic calender 2019)

Kalenda ya elimu 2019 (academic calender 2019)

Tumpara Dudu

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2016
Posts
663
Reaction score
611
Habari zenu wanandugu?

Naomba kufahamishwa,tovuti ambayo naweza kupata kalenda ya elimu kwa mwaka huu wa 2019 kwa shule za Tanzania,au hata mwenye Soft copy anisaidie kuipata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nenda kwa jafo ukachulue. wewe kama ni mwalimu utakuwa bonge la fala
 
Back
Top Bottom