una jinsia mbili,kuna marian girls high school
utaishia na story za kwenye magazeti na sisi wenzio tunapeleka watoto shule wewe peleka madrasa kwa wivu wako wa kidini. wakikua msilalamike kuwa mfumo kristo unawatesa. ni kwasababu ya akili kama za kwako. hakuna shule wanazochunga watoto kama shule za masista/seminary za katoliki. marian bagamoyo na st.francis mbeya. hizo ni bora kuliko hata hizo za rwakatale.Kuna taarifa kwamba bagamoyo kuna shule ya watoto wa kike imekubuhu kwa mapenzi ya jinsia moja!!Hope hakuna shule ya watoto wa kiume bagamoyo iliyokubuhu kwa mapenzi ya jinsia moja na Marian Boys ni moja wapo.
Mimi ni kati ya staff tulioianzisha hii shule..Uwanja wao wa soka niliutengeneza mimi ila baadyae niliondoka na kuachana kazi ya ualimuAnayeifahamu Marian Boys, tafadhali niambie ada yao kwa A-Level na vigezo vya kuingia hapo