Athari za kutojiunga na JKT kwa mujibu wa Sheria

Athari za kutojiunga na JKT kwa mujibu wa Sheria

Rosles Len

Member
Joined
Oct 21, 2012
Posts
18
Reaction score
2
Salam wanajamvi.

Mi ni muhitim wa kidato cha sita mwaka huu. Nimepangiwa jkt MGAMBO TANGA. Nafikiria kutoenda coz Kuna ishu nafanya inayonipatia kipato kinachoniwezesha kuisaidia familia Yangu na kujiandaa na maisha ya chuo. Ila kabla ya kufanya uamuzi nimeona nije kuwaomba wakubwa zangu ushauri... je huko mbeleni kutokwenda jeshi kutaniathiri?

Kama ndiyo kivp???
 
Sidhani kama kutakuwa na tatizo lolote lile kwani sasa watu wanamaliza secondary, waenda soma A level nchi nyingine wanarudi hapa Bongo.
Hata JKT wenyewe wanajua kuwa hili zoezi ni gumu sema wanatekeleza sheria tu
 
Mimi nakushauri uelekee jkt,kwani inajulikana kuwa mifumo ya nchi kila uchwao inabadilika.Hivyo yaweza kukusumbua mbeleni,jambo lamsingi ufungue moyo!!!!!.
 
835 KJ Mgambo jkt Kabuku Tanga,nenda jkt man huwezi jua kila siku nchi inabadili mifumo yake,kwa ushauri wangu nenda asee mi mwenyewe nimepiga kozi huko mgambo jkt xo kama unataka info nicheki
 
Salam wanajamvi. Mi ni muhitim wa kidato cha sita mwaka huu. Nimepangiwa jkt MGAMBO TANGA. Nafikiria kutoenda coz Kuna ishu nafanya inayonipatia kipato kinachoniwezesha kuisaidia familia Yangu na kujiandaa na maisha ya chuo. Ila kabla ya kufanya uamuzi nimeona nije kuwaomba wakubwa zangu ushauri... je huko mbeleni kutokwenda jeshi kutaniadhiri??. Kama ndiyo kivp???

Ww nenda usihofu kabisaa
 
835 KJ Mgambo jkt Kabuku Tanga,nenda jkt man huwezi jua kila siku nchi inabadili mifumo yake,kwa ushauri wangu nenda asee mi mwenyewe nimepiga kozi huko mgambo jkt xo kama unataka info nicheki

Umfundishe na chenja za nguvu na awahi vitengo!!! Aende shamba dunia
 
Salam wanajamvi.

Mi ni muhitim wa kidato cha sita mwaka huu. Nimepangiwa jkt MGAMBO TANGA. Nafikiria kutoenda coz Kuna ishu nafanya inayonipatia kipato kinachoniwezesha kuisaidia familia Yangu na kujiandaa na maisha ya chuo. Ila kabla ya kufanya uamuzi nimeona nije kuwaomba wakubwa zangu ushauri... je huko mbeleni kutokwenda jeshi kutaniathiri?

Kama ndiyo kivp???

jkt inapoteza mda tu hata kama ndo kwenda kufundishana ukakamavu sio kiivo.Mwanafunzi mwenzetu mwaka jana kapoteza maisha kambi ya MGAMBO TANGA na mbaya zaidi akazikwa kambini then matokeo yametoka ana division 2 alikua anasoma combination ya HGE mbezi beach high school, unaweza usiende jkt na ukafanikiwa maisha kama kawa, kwa mtazamo wangu mimi sikushauri uende kwa sababu ndani ya hii miezi utakua umepata kipato kizuri cha kuisaidia familia yako na ww mwenyewe.
 
Alikufa kwasababu ya ugonjwa au???... dah kumbe huwa watu wanafariki jeshini.... nimeingiwa na hofu kubwa sana.... Kaka we ulienda huko jkt???
 
uciogope mwana ndo maisha yalivyo!! Leo unaweza kimbia ila kesho ukakamatka so twenzetu.
 
huko shamba dunia ndo pako vipi?? Je inabidi niwahi kwenda na nipate vitengo???

Uzuri wa ngoma ingia uicheze ndg,kamwe usiogope jkt.kila jambo ili ufanikiwe lazima nafsi ilikubali hivyo wewe nenda ukajionee mwenyewe.
 
Timiza wajibu kwa kwenda isije ikawa sababu ya kusuffer kwako huko mbele.
Karibu sana mgambo utanikuta na usiogope yule aliyekufa mwaka Jana alikuwa mgonjwa na sio mazoezi makali kwa maana wagonjwa wanazingatiwa iwapo ukija na viambatanisho vya daktari.
 
Back
Top Bottom