Naomba kujua day care nzuri Kigamboni

kambi7

JF-Expert Member
Jan 17, 2014
773
588
Wakuu,

Kama heading inavyojieleza,

Naomba kujua daycare nzuri Kigamboni- DSM na bei ziwe affordable.
 
Mpeleke wakamfunfishe ushoga!Wenzenu wana agenda ninyi mnashobokea tu.Wanadamu ni wagumu sana kuelewa.
Wakuu kama heading inavyojieleza naomba kujua daycare Nzuri kigamboni- dsm na bei ziwe affordable
 
Day care ni sehemu ya mtoto kucheza na wenzie na kukua..
so usijali sana uzuri wa majengo
tazama kama kuna walimu wazuri na watoto aina gani watacheza na mwanao
Tafanyia kazi ushauri wako
 
2e7baec1d1d3108ec12fbb97d1b5137a.jpg
 
Back
Top Bottom