Wataalamu wa historia nipeni jibu

T

Tiger

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2007
Messages
1,751
Likes
49
Points
145
T

Tiger

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2007
1,751 49 145
Kwa wale waliotazama movie ya Troy watakuwa wanamtambua Achilles. Huyu alikuwa mpiganaji mzuri sana kwenye historia ya wagiriki lakini nilipojaribu kusoma mtandaoni nilikuta maelezo kuwa mtu huyu alikuwa kwenye Greek mythology kitu kilichonifanya nishindwe kujua kuwa Achilles alikuwa mtu halisi au ni mtu wa kwenye hadithi tu.

Hivyo ningependa wataalamu wanisaidie, je, Achilles aliwahi kuishi kweli?
 
T

Tiger

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2007
Messages
1,751
Likes
49
Points
145
T

Tiger

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2007
1,751 49 145
Wadau swali langu halijaonekana au jibu lake ndio halijaonekana?
 
Nzunga

Nzunga

Senior Member
Joined
Oct 24, 2011
Messages
147
Likes
22
Points
35
Nzunga

Nzunga

Senior Member
Joined Oct 24, 2011
147 22 35
Kabla sijakujibu, nini maana ya myth au mythology.Halafu litafakari swali lako..
 
T

Tiger

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2007
Messages
1,751
Likes
49
Points
145
T

Tiger

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2007
1,751 49 145
Kabla sijakujibu, nini maana ya myth au mythology.Halafu litafakari swali lako..
Mkuu, una maswali magumu kama Kiranga. Haya nitajaribu.
Myth ni habari au taarifa fulani ambazo watu wa jamii fulani wamekuwanazo juu ya mambo au matukio fulani japo mara nyingi taarifa hizo hazina uhalisia.
Sijui kama nimekujibu?
 
C

CHAZA

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Messages
7,082
Likes
2,607
Points
280
C

CHAZA

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2012
7,082 2,607 280
Mkuu, una maswali magumu kama Kiranga. Haya nitajaribu.
Myth ni habari au taarifa fulani ambazo watu wa jamii fulani wamekuwanazo juu ya mambo au matukio fulani japo mara nyingi taarifa hizo hazina uhalisia.
Sijui kama nimekujibu?
Myth, ni hadithi tu! Hiyo ndo maana rahisi ndo maana mdau hapo juu kakurahisishia neno lile refu limenyumbulishwa kutoka myth, alijua itakuwa rahisi kwako hivyo basi; myth= hadithi
 
T

Tiger

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2007
Messages
1,751
Likes
49
Points
145
T

Tiger

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2007
1,751 49 145
Umejibu vizuri ila bado hujatafakari. Pitia na hapa kidogo; myth: definition of myth in Oxford dictionary (British & World English) Kwa kuongeza ni kuwa myth au kwa kiswahili "kisasili" yaweza kuwa kweli au si kweli. Kwa logic hiyo hadithi ya troy na achilles ni za kufikirika.
Nilitafakari sana tena kwa muda mrefu kabla ya kuanzisha uzi huu, lakini kitu kilichofanya nilete kwenu swali hili ni kuwa huwa siamini moja kwa moja kila kinachoelezwa na wikipedia au vyanzo vingine kama hivyo, ila kwa kutafakari na wadau(GT) naamini ninawezakupata taarifa za uhakika.
 
T

Tiger

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2007
Messages
1,751
Likes
49
Points
145
T

Tiger

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2007
1,751 49 145
Myth, ni hadithi tu! Hiyo ndo maana rahisi ndo maana mdau hapo juu kakurahisishia neno lile refu limenyumbulishwa kutoka myth, alijua itakuwa rahisi kwako hivyo basi; myth= hadithi
Ninashukuru kwa mchango wenu wadau lakini labda niwaulize kitu kimoja, kuna chanzo kingine cha taarifa ambacho kinaeleza kuwa habari hii niliyoileta kwenu kuwa ni myth au ni kupitia wikipedia kama nilivyokutananayo?
Samahanini kama nimeeleweka vibaya.
 
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
43,029
Likes
18,068
Points
280
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
43,029 18,068 280
Kwa wale waliotazama movie ya Troy watakuwa wanamtambua Achilles. Huyu alikuwa mpiganaji mzuri sana kwenye historia ya wagiriki lakini nilipojaribu kusoma mtandaoni nilikuta maelezo kuwa mtu huyu alikuwa kwenye Greek mythology kitu kilichonifanya nishindwe kujua kuwa Achilles alikuwa mtu halisi au ni mtu wa kwenye hadithi tu.
Hivyo ningependa wataalamu wanisaidie, je, Achilles aliwahi kuishi kweli?
Achilles is a mythical figure from Greek mythology. Homer epitomized heroism through the vessel of the character of Achilles in the narration of The Trojan War in his writing "Illiad".

He was not real, or rather, there is no evidence to show that he was real.
 
T

Tiger

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2007
Messages
1,751
Likes
49
Points
145
T

Tiger

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2007
1,751 49 145
Achilles is a mythical figure from Greek mythology. Homer epitomized heroism through the vessel of the character of Achilles in the narration of The Trojan War in his writing "Illiad".

He was not real, or rather, there is no evidence to show that he was real.
Now you are talking, kumbe na writer anajulikana kabisa?
Umemaliza mkuu. Dah! But i wish the man was real. Nimeshaona mpaka sculpters of him, ila kumbe ni wishful thinking a.k.a "hocus pocus"
 
Nzunga

Nzunga

Senior Member
Joined
Oct 24, 2011
Messages
147
Likes
22
Points
35
Nzunga

Nzunga

Senior Member
Joined Oct 24, 2011
147 22 35
Mkuu Kiranga umemuweka wazi vyema mkuu Tiger.
 
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
43,029
Likes
18,068
Points
280
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
43,029 18,068 280
Now you are talking, kumbe na writer anajulikana kabisa?
Umemaliza mkuu. Dah! But i wish the man was real. Nimeshaona mpaka sculpters of him, ila kumbe ni wishful thinking a.k.a "hocus pocus"
It has to be noted that Homer did not create Achilles as a character, and there are pre-Homeric traditions narrating the heroic feats of Achilles. Homer took from traditional myths and wove the most famous story with Achilles as a character in the Illiad.
 
T

Tiger

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2007
Messages
1,751
Likes
49
Points
145
T

Tiger

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2007
1,751 49 145
It has to be noted that Homer did not create Achilles as a character, and there are pre-Homeric traditions narrating the heroic feats of Achilles. Homer took from traditional myths and wove the most famous story with Achilles as a character in the Illiad.
Damne it! So that means, we still do not know how Greece came about with the mighty Achilles, which implies we might have just lost the traces of such an icon. Is that not possible?
 
LILENDI

LILENDI

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2013
Messages
1,404
Likes
15
Points
0
LILENDI

LILENDI

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2013
1,404 15 0
Myth, ni hadithi tu! Hiyo ndo maana rahisi ndo maana mdau hapo juu kakurahisishia neno lile refu limenyumbulishwa kutoka myth, alijua itakuwa rahisi kwako hivyo basi; myth= hadithi
bold: mythology is the study of myths.
zipo hadithi za aina nyingi

anecdote = hadithi
legend = hadithi
folktale = hadithi
fable = hadithi
kwa hiyo kufafanua aina ya hadithi unayoisema ni muhimu:
 
LILENDI

LILENDI

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2013
Messages
1,404
Likes
15
Points
0
LILENDI

LILENDI

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2013
1,404 15 0
Kwa wale waliotazama movie ya Troy watakuwa wanamtambua Achilles. Huyu alikuwa mpiganaji mzuri sana kwenye historia ya wagiriki lakini nilipojaribu kusoma mtandaoni nilikuta maelezo kuwa mtu huyu alikuwa kwenye Greek mythology kitu kilichonifanya nishindwe kujua kuwa Achilles alikuwa mtu halisi au ni mtu wa kwenye hadithi tu.
Hivyo ningependa wataalamu wanisaidie, je, Achilles aliwahi kuishi kweli?
kwenye fasihi, wahusika wanawakilisha watu halisi ktk jamii. huweza kuwa wa kubuni au wa ukweli. hata kama watakuwa wa ukweli bado ubunifu hutumika ili kuwafanya wawe wa kifasihi zaidi kuliko kuwa wa kihistoria.

sijawahi kuiona hiyo movie ila huenda aliwahi kuishi au la, lakini huyo wa kwenye movie ni imaginary character that the author has created to convey the message.
 
T

Tiger

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2007
Messages
1,751
Likes
49
Points
145
T

Tiger

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2007
1,751 49 145
kwenye fasihi, wahusika wanawakilisha watu halisi ktk jamii. huweza kuwa wa kubuni au wa ukweli. hata kama watakuwa wa ukweli bado ubunifu hutumika ili kuwafanya wawe wa kifasihi zaidi kuliko kuwa wa kihistoria.

sijawahi kuiona hiyo movie ila huenda aliwahi kuishi au la, lakini huyo wa kwenye movie ni imaginary character that the author has created to convey the message.
Mkuu, naomba ujitahidi kuitafuta hiyo movie, ni ya zamani 1994 lakini ni kati ya movie ninazozipa nafasi ya juu.
I like the movie, Troy.
 
LILENDI

LILENDI

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2013
Messages
1,404
Likes
15
Points
0
LILENDI

LILENDI

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2013
1,404 15 0
Mkuu, naomba ujitahidi kuitafuta hiyo movie, ni ya zamani 1994 lakini ni kati ya movie ninazozipa nafasi ya juu.
I like the movie, Troy.
Asante mkuu, nitaitafuta halafu naenda kuiangalizia kwa jirani. kwangu nabana bajeti ya umeme...teh teh teh
 
C

Carla

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2012
Messages
349
Likes
284
Points
80
C

Carla

JF-Expert Member
Joined Aug 4, 2012
349 284 80

Forum statistics

Threads 1,249,898
Members 481,140
Posts 29,714,308