Heshima zenu Wasomi wa jukwaa hili.
Naomba kuelekezwa hatua kwa hatua za kufuata kwa ajili ya ku apply kujiunga na vyuo vya Elimu ya juu hapa Tanzania,kwani nina mtoto wangu amemaliza kidato Cha...
Kwa mwalimu mwajiriwa wa serikali, ipi Ni Masters Bora Kati ya tajwa hapo juu?
Wadau wa Elimu karibuni kwa mawazo!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nimejikuta nakumbuka enzi hizo nikiwa 825 MTABILA, mujibu wa sheria OP KIKWETE (2015) hiyo. Nilikua kombania B (Bravo Coy) chini ya Luteni Lusui (naskia kwa sasa ni Captain), alikua mtu mmoja...
Chuo cha DIT Dar es salaam campus kuna shida kwenye mfumo wa application kuna stage ukifika nadhani ni stage 3 ambapo inabidi uweke index number za muombaji uli kuverify matokeo, ukifanya process...
ICT4TD Learning Centre ni centre ambayo imejikita zaidi katika maswala ya kuelimisha jamii hasa vijana katika maswala yanayohusiana na Technohama kwa ujumla.Centre hii imebase zaidi katika...
Ndoto zangu za kuendelea na masomo ya elimu ya juu ziko hatarini kutoweka kutokana na changamoto kubwa za kifamilia na kifedha zinazozikabili juhudi zangu za kutimiza malengo ya kielimu.
Samahani wakubwa Hivi hii Kozi ya Bachelor of Science in Physics pale UDOM mtu akisoma anakuwa nani maana kila nitakayemuuliza ananiambia hapo ni ualimu naomba mnisaidie hapa? 🐒🐒🐒🤔🤔
Nauliza tu maana nipo hapa Ntwara kwa akina THE BIG SHOW nimekuta Chuo cha SAUT
Na Imani MMU nao watamheshimisha hayati Nkapa kwa kujenga vyuo vikuu vishiriki nchi nzima
Ahsanteni sana 😁
Ukiondoa priority course(kozi pendwa) Kuna hizi kozi zenye upana wa Ajira, Upande wa Afya na uhandisi.
Electronics& communication (Self)
Computer &IT
Civil Eng,
Electrical Eng,
Mechanical Eng...
Wazee, hivi wakili anayejitafuta mtaani, labda amegraduate last year, na mwalimu sekondari bachelor degree holder mwenye miaka 10 kaziñi, Nani ana possibility kubwa ya kuwa na maisha supa miaka 10...
Nyie direct entry kwenye vyuo vikuu kutoka kidato Cha sita,
Pitieni vizuri muongozo wa TCU ili muone mapema Kama mnastahili kujiunga na vyuo vikuu au hamstahili.
Lengo ni kuwasaidieni ili msije...
Habari wana JF
Kuna mdogo wangu anaingia kidato cha Tano, kapangiwa shule inaitwa ZANZULI SECONDARY ipo SHINYANGA.
Cha ajabu ni kwamba Joining instruction form ya shule hii haipatikani kabisa...
Kila mwanafunzi lazma kuna ticha wa twit anaye au aliyemkubali kinoma!..wakati wa analogy kulikuwa na akina mkandawile,kazibure na mama shija! Digitali nayo ina wakali kama muddy physics...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.