Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Kila mwanafunzi lazma kuna ticha wa twit anaye au aliyemkubali kinoma!..wakati wa analogy kulikuwa na akina mkandawile,kazibure na mama shija! Digitali nayo ina wakali kama muddy physics...
1 Reactions
286 Replies
68K Views
Habari za wakati huu wapendwa wanajukwaa, Natumaini wote mko salama. ■Kwa heshima na unyenyekevu, naomba msaada wa ushauri, taarifa au hata fursa yoyote kuhusu scholarships (ufadhili wa masomo)...
2 Reactions
12 Replies
679 Views
Naombeni msaada wa uelewa kuhusu online courses, nahitaji kusoma online je niwapi nitapata course za online ambazo nitakuwa certfied? Na je hizi course gharama yake ikoje? Je ziko kozi za bure...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Hii ni dalili ya kupunguza watu wa mikopo ya elimu ya juu na diploma kwa namna fulani hivi,haiwezekani unaleta mfumo watu wako uliowachagua hawajui kama mfumo ni mpya basi toa mafunzo mwaka mzima...
1 Reactions
4 Replies
527 Views
Habari wana jf nimeona kozi mpya chuo cha maji pale ubungo. Wameanza kutoa bachelor in plumbing and service engineer naombeni msaada kwa anayeijua vizuri fursa zake au changamoto zake
1 Reactions
0 Replies
390 Views
Nimeregister nikapewa username, password na control number ya malipo. Baada ya kufanya malipo yakapokelewa na meseji nimepata kabisa lakini nikienda kulog in naletewa notification pale juu...
0 Reactions
2 Replies
295 Views
Kwanini hapa Tanzania watu wanaheshimu sana cheti cha form four yaani ikiwa hata kama una GPA ya tano ila form four ukiwa na four unachukuliwa poa.? Hii inasababishwa na nini mfano yule Mkuu wa...
9 Reactions
42 Replies
2K Views
Wadau wa elimu, naombeni ushauri. Mimi ni mwalimu ngazi ya diploma muajiriwa. Nahitaji kufanya program nyingine tofauti na ualimu ili nifanyiwe recategorization. Ni ipi program kwa halmashauri...
2 Reactions
4 Replies
414 Views
Naombeni msaada katika hili wadau mtu aliyehitimu kidato cha nne anaweza kupewa mkopo na bodi ya mkopo kwa ajili ya kusoma diploma? ==== Pia soma: Bodi ya Mikopo (HESLB) pamoja na kutoa...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari za Leo wakuu, Natumai mu wazima wa afya njema. Gesi ya kabondioxide imekuwa ikitolewa kwa wingi kutoka kwenye injini za magari na kwenye mitambo viwandani. Injini za magari na mitambo ya...
6 Reactions
310 Replies
21K Views
Jaman hivi mtu anaweza soma course gan akipata c chemistry c biology d ya physics advance
2 Reactions
1 Replies
460 Views
Anonymous
Mimi ni mwanafunzi niliyehitimu katika chuo cha elimu na biashara campus ya Dar-es-salaam Diploma ya INFORMATION TECHNOLOGY. Nimesoma cheti nikamaliza nikaendelea diploma ila cha ajabu sana ni...
1 Reactions
4 Replies
492 Views
Kristu? Assalamu alaikum Karibu kwenye muendelezo wa thread zinazohusu research writing and data analydid na leo nitaelezea kidogo kipengele cha data collection ambacho kwa asilimia kubwa watu...
4 Reactions
7 Replies
653 Views
Huu uzi unakutanisha wahitimu wa vyuo mbalimballi kujadili masuala tofauti kuhusu taaluma, ajira na kujiajiri. Njooni tupeane michongo, mawazo na ushauri kuhusu maisha baada ya kumaliza chuo Toa...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Kwa wale ambao wangependa kuimarisha maarifa yao zaidi, kuendeleza taaluma zao, wanafunzi kupata darasa za uhakika toka wataalamu wabobezi mbalimbali nakupata maarifa mapya kwenye almost field...
5 Reactions
21 Replies
6K Views
Tunataka usawa, kwa wanafunzi wote na siyo udanganyifu unaendlea kutendeka maamuzi yasiyo na usawa ikiwa wote tumestahili adhabu. Ni kivipi wachache watumikie adhabu na wengine kusamehewa pasipo...
0 Reactions
0 Replies
168 Views
Wajumbe hamjambo. Nakuja kwenu nikiwa na masikitiko makubwa sana nina ndugu yangu wa kike kafeli mitihani ya F6 Kapata as follows Gs - E Phy - S Chem - E Bio - D B/math - F Naombeni...
10 Reactions
150 Replies
4K Views
Habari za asubuhi wana JF, Niende moja kwa moja kwenye jambo langu. Siku kadhaa zilizopita nilijisajili na mfumo wa kuomba kozi mojawapo pale chuo kikuu huria. Nilikamilisha taratibu zote na...
1 Reactions
2 Replies
342 Views
Hivi inawezekana Avn number kama umeisahau ukaiomba tena upya?
1 Reactions
1 Replies
388 Views
Habari ,hivi mfamasia akiajiliwa serikalini bado anaruhusiwa kuitumia leseni yake kufungua na kusimamia famasi?
1 Reactions
3 Replies
378 Views
Back
Top Bottom