Chuo bora Afrika ya Mashariki kwenye masuala ya uongozi

Ety Africa tuondelee s mchezo huyu mwamba baada ya kusema anataka chuo cha mechanics au civil engineering atuletee products kwa jamii ety chuo cha uongoz halafu yupo njee ya mfumo wala sio senior katika kaz zake mm najua ukifika level ya kutakiwa uwe kiongoz serikal inajukumu la kukupeleka chuo ambacho inataka uwe lakin kama ndio unapiga winga kusoma tu uje uongoz labda familia yako au dry cleaner yako ni vyema
 
mtoa mada hajalenga ni level gani hasa degree ya kwanza, ya pili au ya tatu

  1. University of Dar es Salaam (UDSM).
  2. Mzumbe University.
  3. Nelson Mandela African Institute of Science and Technology (NM-AIST).
  4. University of Nairobi (UoN).
  5. Strathmore University.
  6. Makerere University.
  7. Uganda Management Institute (UMI).
  8. University of Rwanda – College of Business and Economics.
 
Ety Africa tuondelee s mchezo huyu mwamba baada ya kusema anataka chuo cha mechanics au civil engineering atuletee products kwa jamii ety chuo cha uongoz halafu yupo njee ya mfumo wala sio senior katika kaz zake mm najua ukifika level ya kutakiwa uwe kiongoz serikal inajukumu la kukupeleka chuo ambacho inataka uwe lakin kama ndio unapiga winga kusoma tu uje uongoz labda familia yako au dry cleaner yako ni vyema
🤣🤣🤣 uongozi ni muhimu kwenye kila nyanja. Ingekuwa ni kuwaza serikakini basi njia rahisi ni kujichomeka UVCCM na kufanya hamasa za mi5 tena.
 
Back
Top Bottom