COURSE: BACHELOR OF SCIENCE IN PHYSICS

Teknocrat

JF-Expert Member
Oct 20, 2018
2,393
4,933
Kama ulipasi vizuri tafuta scholarship uende kwa wenye fani yao huko ndio wanaithamini sana Physics..... 

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
4,194
4,788
Habari ndugu zangu, natumaini wazima kabisa!
Naomba kushirikishana nanyi katika mada (kozi) tajwa hapo juu...!!
Mimi ni kijana mhitimu wa chuo kikuu mwaka 2022, katika kozi tajwa hapo juu. Naamini kuna fursa mbali mbali katika jamii mnazoishi, naomba kuwasilisha ombi langu kwenu kwamba niko tayari kufanya kazi yeyote na katika mazingira tofauti tofauti, katika kazi hizo, zifuatazo huenda ikawa mmojawapo;
1. Kufundisha Physics (O-level) na mathematics
2. Computer fields
3. Aviation Fields (T.M.A)
4. Office tasks

Mawasiliano yangu +255713538560 (WhatsApp & normal call).

Natanguliza shukran zangu za dhati
Kwann sio physics ya advance 😀😀😀😀😀😀
 

Bonnie SN

Member
Nov 19, 2022
8
5
Kama ulipasi vizuri tafuta scholarship uende kwa wenye fani yao huko ndio wanaithamini sana Physics.....Thanks
 
1 Reactions
Reply
Top Bottom