Evvy jr
Senior Member
- Apr 23, 2017
- 148
- 188
Nimejikuta nakumbuka enzi hizo nikiwa 825 MTABILA, mujibu wa sheria OP KIKWETE (2015) hiyo. Nilikua kombania B (Bravo Coy) chini ya Luteni Lusui (naskia kwa sasa ni Captain), alikua mtu mmoja makini sana sana, popote alipo Mungu azidi kumuongezea manyota.
Kambi yetu ilikua haina mda mrefu toka imeanzishwa hivo tulikua na kazi kibao nakumbuka, ujenzi kama wote, kufyeka, kuzima moto. Kufata kuni kwa Nkurunzinza kule kama unaenda Burundi
Sema kambi yetu ilikua huwez kuskia njaa maana kulikua na matunda kama yote, ndizi na maparachichi
Kwakweli sijutii kupita JKT japo mwanzo niliwaza kutoroka lkn nilikosa njia ikabidi nikaze tu.
Baadhi ya maafande ambao sitawasahau pale mtabila ni
1: Luteni/Captain LUSUI
Huyu nina mengi sana mazuri ya kueleza kulingana na namna aliishi na sisi hasa upande wangu coz tulitokea kuelewana sana
2: Afande MPUCHE
Huyu ni mdengeleko wa kwanza kuingia Jeshini ni afande mmoja alikua na vituko sana, anakupigisha doso huku mnacheka
3: Afande FIDEL
Huyu jamaa alinisaidia siku moja nilikua naumwa sana, alafu maafande wengine hawanielewi kabisa, hiyo siku ningekufa aisee lkn huyu jamaa akaingilia kati akanipeleka kwenye anga kupumzika
4: Afande Mama Mende
Sijui jina lake ila kwa utani tulimwita mama mende. Huyu madam sitasahau maumivu aliyokua anatupa, alikua na roho ngum sana, furaha yake ni kuona mnaumia tu
5: Afande Mdungi
Huyu mzanzibari alikua rafiki wa Afande Fidel, alikua anapenda kulewa, kila siku yy ni kusumbuana na ma MP sababu ya kulewa
6: Afande Turuwai
Sina hakika kama nimetaja vzr jina lake lkn alikua mzee mmoja ana sauti ya ukari sana, huyu alikua askari kwekweli kuanzia muonekano, saut mpaka matendo!
7: Afande Shetani
Huyu jamaa alikua hacheki na mtu na wala hakuwa na urafiki na kuruti wala askari mwenzie
8: Afande Matapishi
Sijawai kutana na asari katili kana huyu maishani mwangu, lkn alinifundisha uvumilivu
Kuna wengine wengi siwez kuwataja wote mfano afande mbeshi, afande bosco (service man), luhinya (service man) comando luten mwansasu.
Wote hao na wengine wengi walikua na mchango mkubwa sana kwenye maisha yangu ya jeshini.
HUKO KAMBINI KWENU PALIKUAJE TUAMBIE