BSC with education vs diploma in nursing and mildwife

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,337
5,573
Ndugu wadau, kunakijana kapata admmsiion mbilihadi sasa,, 1.BSC with Education--St Johns University-Dodoma na 2. Diploma in Nursing and Mildwife-Kibondo school of nusring

Huyu binti alimaliza CBG na division 3 ya EEC. Jamana kwa uzoefu na hali ya maisha ya sasa na kwa uzoefu wa kozi hizo husika, unaweza kumushauli asome ipi kati ya hizo.

NB hiyo kozi ya bSC ataweza isoma kama akipata labda mkopo kwani uwezo wa kiuchumi kujisomesha hawezi.

Asante kwa kutoa ushauri
 
Ok,,lakini kwa hali ya sasa ya shida ya ajira..ni fani ipi inaweza isimlaze njaa...kama mtoto wa kike..
Unesi na ualimu sio kazi za kukosa ajira. Ni sera mbovu tu za serikali. Mashule na mahospitali yanajengwa kila siku na uhitaji wa hao wataalam bado ni mkubwa.
Kama anapenda unesi aende ni fani nzuri sana kwa mtoto wa kike.
 
fact
 
Ndugu wadau, kunakijana kapata admmsiion mbilihadi sasa,, 1.BSC with Education--St Johns University-Dodoma na 2. Diploma in Nursing and Mildwife-Kibondo school of nusring,
Huyu binti alimaliza CBG na division 3 ya EEC. Jamana kwa uzoefu na hali ya maisha ya sasa na kwa uzoefu wa kozi hizo husika, unaweza kumushauli asome ipi kati ya hizo. NB hiyo kozi ya bSC ataweza isoma kama akipata labda mkopo kwani uwezo wa kiuchumi kujisomesha hawezi.

Asante kwa kutoa ushauri
Kimsingi course zote ajira sio shida sana.

Nimeona hapo mwishoni umesema kiuchumi wazazi hawapo vizuri.
Tambua kwamba endapo atanda Nursing & Mildwife atahitajika kulipa ada ya chuo pamoja na meals and accommodation.

Lakini Bsc Education kuna uwezekano mkubwa kupata mkopo wa HESLB kwenye ada, chakula na malazi maana walimu wa sayansi ni kipaumbele pia kwenye mkopo.

Kuhusu kipato/salary kwenye ajira ninajua mwalimu mwenye degree huaza na ngazi ya mshahara TGTSD. Fuatilia hiyo ngazi ni Tsh ngapi kwa sasa ? Diploma ya nursing sijajua maslahi yakoje kwa sasa.
 
Asante Emaga kwa ushauri. Karo na matumizi ya nursing serikalini jmla haizidi 1.Million kwa mwaka kwa mjibu wa join instruction gharama zote hazizidi million.. offcourse leo kapata admission ya Clinical officer Sengerema College ambayo gahrama ni million 4 kwa mwaka ambayo wazazi hawawezi, so option ni labda Bsc Education kama atapata mkopo au asome nursing and mildwife ambayo ndo Gharama kwa mwaka haizidi 1 Million. Ndo maana tukauliza kati ya Bsc Education na nursing ipi bora kumtoa mtoto
 
Una uthibitisho !?
Ndugu mwalimu mwenye degree huamini kuwa nesi wa Muhimbili au Mloganzila mwenye Diploma kakuzidi kipato? Nje ya mshahara wewe unapata hela ya kusimamia mtihani, sensa na uchaguzi.

Kama huamini kuzidiwa mshahara na mtu kama nesi ukiambiwa mwanajeshi aliyeishia form four akala four amekuzidi maslahi utaamini?

Ukiambiwa Dereva au mhudumu wa chai NSSF, TRA, PSPF, TANROADS n.k wamekuzidi mshahara utaamini?
 
Back
Top Bottom