Nimesoma masomo ya sayansi katika Shahada yangu. Je, naweza kusoma Masters of Business Administration?

Ameli Mligo

Member
Apr 18, 2018
28
16
Habari wana JF,

Ninasoma bachelor degree ya education (Physics na Chemistry) but baada ya kugraduate nataka nikasome masters of business administration. Nina maswali kadha nitashukuru nikijibiwa.

1. Kwa sababu nimesoma pure science ninaweza kumanage kusoma hiyo masters bila shida.

2. Je, naweza nikaisoma vizuri bila shida yoyote kama nikisoma open university?
 
Utapata shida kwa sababu unaenda kuanza kukisoma kitu ambacho hauna msingi nacho tena kwenye ngazi za juu, cjajua vigezo vyao kama utaendana navyo ila utakua umekidhi vigezo bc hakikisha uwezo wako wa uwelewa ni mkubwa la sivyo utapata shida.
 
Nilisoma science, kufika chuo jamaa alisoma ECA akawa anachukua BED-COM aliniambia maneno haya haya wakati mmi nimechagua BBA na sijawahi kusikia hata definition ya COM/ACC akasema nikijitahidi ni C au Supp. Ila hadi namaliza chuo sikuwahi kupata C somo lolote nililofeli ni B plain
 
Umenipa moyo kabisa nadhani nitaipiga vizuri tuuu
 
Labda uwe umeenda kucheza, yaana Chemistry iwe kichwan, Physics iwe kichwan then ushindwe kukomaa na MBA tu...?

Mimi nianze kwa kukutakia kila la kheri kabisa.
 
Habari wana JF,

Ninasoma bachelor degree ya education (Physics na Chemistry) but baada ya kugraduate nataka nikasome masters of business administration. Nina maswali kadha nitashukuru nikijibiwa.

1. Kwa sababu nimesoma pure science ninaweza kumanage kusoma hiyo masters bila shida.

2. Je, naweza nikaisoma vizuri bila shida yoyote kama nikisoma open university?
Namfahamu kijana alisoma BVM(Veterinary) na alipomaliza akafanya MBA. Na aina hii wako wengi tu. Pitia prospectuses za vyuo ujiridhishe kwani hata MBA ziko za aina nyingi. Chagua omba na utafanikiwa kupata admission, baada ya hapo kazi ni kwako.
Open University inachohitaji zaidi ni discipline (nidhamu), determinantion na malengo. Ukijipanga vizuri utatoboa tu. All the best.
 
Ivi inawezekana mtu aliyesoma arts A_level , chuo akachukua degree ya biashara Kama accountancy and finance ?
 
Back
Top Bottom