Habari ndugu zangu. Mimi naomba mnijuze kati ya clinical medicine na medical laboratory ipi ni bora na yenye ajira kwa haraka. Na mishahara yake ipoje? Na je kama mtu akisoma certificate miaka miwili ili kuendelea diploma ni lazima aanze tena miaka mitatu au anaendelea mwaka mmoja?