Mfumo wa kubadilisha cheti cha form 4 bado upo?

ovi

JF-Expert Member
Aug 5, 2016
407
500
habarn za leo,
ivi ule mfumo wa kuunganish cheti kwa wale wanao rudia mitihani bado upo au system imebadilishwa?
mf 2015 nimepata D moja,2016 nikapata D nyingine moja ,Je nawez kuunganisha ikawa chet kimoja?
 
ommky

JF-Expert Member
Jul 30, 2016
430
250
hiyo inaezekana ila sio kufanya cheti kiwe kimoja, endapo uta apply chochote watakuambia uweke first sit and second sit, ata third sit , ili mradi tu grades zako zikidhi vigezo vinavyo hitajika katika ngaz husika,,,,,,,swala la kuunganisha unganisha mwenyewe uone una point ngapi, ni ivyo ndugu angu
 
ubuntuX

JF-Expert Member
Aug 18, 2014
1,754
2,000
habarn za leo,
ivi ule mfumo wa kuunganish cheti kwa wale wanao rudia mitihani bado upo au system imebadilishwa?
mf 2015 nimepata D moja,2016 nikapata D nyingine moja ,Je nawez kuunganisha ikawa chet kimoja?
Inawezekana kabisa, tena ukimaliza unaweza fika NECTA physcaly na ukawapa vyeti vyako vyote na kupewa cheti kimoja
 
  • Thanks
Reactions: ovi

ovi

JF-Expert Member
Aug 5, 2016
407
500
hiyo inaezekana ila sio kufanya cheti kiwe kimoja, endapo uta apply chochote watakuambia uweke first sit and second sit, ata third sit , ili mradi tu grades zako zikidhi vigezo vinavyo hitajika katika ngaz husika,,,,,,,swala la kuunganisha unganisha mwenyewe uone una point ngapi, ni ivyo ndugu angu
asante kw msaada
 
ovi

JF-Expert Member
Aug 5, 2016
407
500
Hakuna hyo ndugu...
Kusoma ni kipaji ndugu, kama hauna kipaji jichanganye kwenye mishe zngine... Ili usipoteze your time
inawezekana elimu yangu huifikii hata kwa nukta...hilo swali nimeuliza kwa niab ya mtu fulani...nilikosa cha kumjib ikabd niulize huku...afu kwa ushaur acha kukatisha watu tamaa duniani kuna mengi hyu ameshindwa hapa hujui wew utashindwa wap
 
Shombe la Kisomali

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
3,919
2,000
inawezekana elimu yangu huifikii hata kwa nukta...hilo swali nimeuliza kwa niab ya mtu fulani...nilikosa cha kumjib ikabd niulize huku...afu kwa ushaur acha kukatisha watu tamaa duniani kuna mengi hyu ameshindwa hapa hujui wew utashindwa wap
Sawa msomi
 
Masiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
6,418
2,000
Inawezekana kabisa, tena ukimaliza unaweza fika NECTA physcaly na ukawapa vyeti vyako vyote na kupewa cheti kimoja
Hii haiwezekani kabisa, kila cheti kinasimama chenyewe isipokuwa kama alivyo eleza mkuu ommky wakati wa kujaza ndio unaingiza hizo particulars. Kila mtihani unaofanya unaingia kwenye record ya mwaka husika na cheti kile kinajitegemea na sheria pia zaweza kubadilika kati ya mwaka na mwaka hivyo kuunganisha kupata cheti kimoja haiwezekani.
 
issa mweusi

JF-Expert Member
May 31, 2015
1,481
2,000
Kama unaona unauwezo soma na kaza haswa pia uwe unajitathimin sio kila mwaka unalisit tu .
 
cavee_louie

Senior Member
Aug 16, 2016
175
225
Inawezekana kabisa, tena ukimaliza unaweza fika NECTA physcaly na ukawapa vyeti vyako vyote na kupewa cheti kimoja
Aiwezekani toka mwaka 2014 walitoa tangazo hadi Leo lipo kwenye wavuti yao kuwa aifanyi ivyo sababu ni sitting tofaut

Sent from my Vodafone 875 using JamiiForums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom