Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

HII NDIO ORODHA YA KOZI ZA BACHELOR ZINAZOPEWA KIPAUMBELE KUPATA MKOPO WA HESLB MWAKA 2025 Kundi la Kwanza (Kipaumbele cha Kwanza) Education in Science Subjects: Physics, Chemistry, Biology...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
"Habari, Kuna changamoto kwenye mfumo wa wa Nactvet kwa watu wanaaomba AVN. Waombaji wanakutana na errors nyingi. Namba zote za simu zilizowekwa kwaajili ya mawasiliano na ofisi ya NACTVET...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Je uki disco chuo kikuu ukatumia cheti Cha diploma kuomba kazi na ukapata kazi je utakatwa mkopo wa loan board kwenye mshahara
5 Reactions
61 Replies
3K Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa, Khalid A.Khalif ameendelea na utaratibu wake wa kawaida wa kuwatembelea wakandarasi kwenye Kandarasi za Miradi ya Maendeleo inayoendelea...
0 Reactions
0 Replies
557 Views
Wakuu poleni na majukumu, hivi kama ulifanya mitihani ya advance mara mbili mara ya kwanza ulipata D moja na mara ya lili ukapata D ya pili chuo ume combine matokeo sasa upande wa kuapply mikopo...
1 Reactions
10 Replies
687 Views
Jamani huyu ni last born kwenye familia yetu kapata division 2 ya kumi na moja,dogo anataka chuo asome mbeya na vyuo ambavyo ana vitamani ni mzumbe na T.I,A changomoto iliyopo ni kwamba dg o...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Kwa wale waliosoma ama waliowahi kufika Chuo kikuu cha Dodoma, hasa college ya social na Humanities, utaona wamama wengi na wazee wanazagaa kwenye milango cha cafeteria wakiwa na watoto wadogo...
4 Reactions
70 Replies
3K Views
Naomba kuuliza ni kozi zipi kwa bachelor anazoweza kusomea mtu aliemaliza diploma ya pharmacy na hana grade D ya physics na mathematics kidato cha nne
3 Reactions
9 Replies
906 Views
Kwanini Shule nyingi za Makanisa zinaongoza kufanya vizuri kuliko za Serikali japo watu wanadharau watu wanao shika dini Watu wengi hudharau wale wanaoshika dini wakidhani hawana nafasi katika...
0 Reactions
0 Replies
243 Views
Kujifunza kitu kipya ni rahisi, lakini kukikumbuka kwa muda mrefu mara nyingi ni changamoto. Wanafunzi, watafiti, na hata wafanyakazi kazini mara nyingi hukutana na hali ya kusoma kwa bidii lakini...
9 Reactions
16 Replies
2K Views
Kama wewe ni mwanafunzi au mtu unayetaka kujifunza kuandaa research na kuzioffer kwenye majukwaa ya freelancing kama upwork, Fiverr na Linkedin lakini huelewi baadhi ya concepts zinazotumika huko...
3 Reactions
3 Replies
748 Views
Wakuu, Kuanzia Septemba mwaka huu, Beijing, China itaanza kuwafundisha watoto wadogo kuanzia umri wa miaka sita masomo ya lazima ya Akili Bandia (AI) katika shule zote za msingi Shule zote...
1 Reactions
3 Replies
488 Views
Inafahamika kuwa kupitia TCU unaweza kusoma kozi mbili kwa intake moja. Mathalan uchukue bachelor of arts with education na wakati huo huo uchukue bachelor of law. Ila je kwa mujibu wa NACTE...
1 Reactions
1 Replies
336 Views
Samahani NIDA mimi nilikojiandikisha kabla sijapata kitambulisho cha NIDA nilihama niko MBEYA wilaya ya CHUNYA na nilijiandikisha Dares salaam wilaya ya KIGAMBONI kipindi ofisi za NIDA zikiwa...
0 Reactions
4 Replies
455 Views
Anonymous
Hawa loan board yaani hawapatikani kabisa kutoa huduma na namba walizoweka ukipiga zote hazipatikani hata ukiwafuata katika page yao instagram hawajibu, email hawajibu, yaani kumekuwa na mazoea...
0 Reactions
0 Replies
202 Views
Shule za msingi Njombe Mjini (sio zote) zimekuwa zikitoza hela ya mitihani kwa wanafunzi wake elfu 5 hadi elfu 10 kwa mtihani mmoja kila wiki na kwa wale wanaochelewa kulipa walimu na wakuu wao...
0 Reactions
4 Replies
711 Views
Hapo zamani nakumbuka watu wengi waliepnda kwenda vyuo vya kilimo au kusomea kozi za kilimo Hali ya sasa imebadilika, ile ari tuliyozoea kuiona imeshuka Sikuhizi ni herimtu aende chuo cha...
3 Reactions
9 Replies
813 Views
Anonymous
Sisi Wanafunzi wa Chuo cha Mbeya Training College kilichopo Uyole Mkoani Mbeya ambacho kinatoa Kozi 4 ambazo ni Laboratory Assistant, Secretary, Business Operator na Hotel Management. Mwaka jana...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Anonymous
Kuna namna watu wa ADMISSIONS, Chuo cha MIPANGO DODOMA hawawasikilizi Wateja wao kuna Wanafunzi hadi Mwaka wa Tatu sasa Taarifa zao hazijatumwa NACTE.
0 Reactions
0 Replies
243 Views
Mtumishi aliyesoma ualimu anaweza kufanya recategorization katika kozi ya bachelor of science in data management inayotolewa Open University. Naomba wa ushauri wadau
1 Reactions
0 Replies
469 Views
Back
Top Bottom