Hivi Mzumbe University siku hizi mbona haivumi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Mzumbe University siku hizi mbona haivumi?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Perry, Oct 12, 2011.

 1. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 861
  Trophy Points: 280
  Nakumbuka mwaka 2009 wakati ndo nimemalza 4m 6,mzumbe university walikua wanaringa kuchukua wanafunzi 2naotegemea Heslb na badala yake wakawa wanachukua wa2 wenye dv 3 wengi kwa kigezo cha kwamba wao ni private sponsered.kiukwel mwenyewe wakati niko secondary nlikua na ndoto za kusoma mzumbe cku moja kutokana na sifa kem kemu nlzokuaga nazckia zikikitangaza hcho chuo,bac ikatoe muda wa kufanya application ulvofka,nkaaply udsm,mzumbe,IAA na udom,Matokeo yangu hayakuwa mabaya sana kiac cha kunifanya nikose chuo chochote hapa ulimwenguni..cha kushangaza selection zlvotoka nkawa nimepata udsm,IAA,na Udom lakini mzumbe wakawa wamenipga chini,wel nkaconfirm zangu kwenda udsm lakini nkiwa na huzuni kwan chaguo langu lilikua mzumbe na wao wamenpga chini,kufika udsm na nilipozoea shule..nkaanza kufanya comparisons kati ya udsm na mzumbe nione wapi pana shule ya ukweli,nkaja kugundua kwamba mzumbe wanahitaji miaka takribani 50 ili kufikia nusu ya mafanikio ilyonayo udsm..sasa nkawa najiuliza zile mbwembwe nlzokua nazkia kuhusu mzumbe zlikua ni za nin?baadae tcu wakashka rungu la kupangia wa2 vyuo,ndo siisikii tena hyo mzumbe kabisa,cjui imefia wapi vile,nimebaki kuckia madogo wakikimbilia kuaply udsm,sua,udom,ifm na muhimbili..cjui wamegundua mchezo gani mchafu unaochezwa huko mzumbe hadi hawakishobokei tena kama enzi ze2...
   
 2. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Unataka wavume?. Wafanyie promo.
   
 3. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  uandishi wako mbovu.
   
 4. Sabry001

  Sabry001 JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,064
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Itavumaje wakati Udom imekifunika?
   
 5. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #5
  Oct 13, 2011
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  sizitaki mbichi hizi
   
 6. B

  Balozi Chriss Senior Member

  #6
  Oct 13, 2011
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 154
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kile co chuo ni Tuition centre(mzumbe tuition centre).....
  Halafu wewe nawe waweza kuwa mwanafunzi wa mzumbe lahasha .
   
 7. only83

  only83 JF-Expert Member

  #7
  Oct 13, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180

  Analysis za kijinga kama hizi ndizo zinaonyesha namna wasomi wetu walivyo majitaka,sasa umeandika nini hapo? Tuache hii tabia ya kuleta thread zisizo na kichwa wala mkia hapa JF....Kwani Mzumbe ikiwa inahitaji miaka 50 kuifikia UDSM inachangia nini kwenye maendeleo ya elimu hapa nchini? Tuwe na akili kidogo jamani..kwa analysis kama hii umekishushia heshima chuo kikuu cha dsm....
   
 8. only83

  only83 JF-Expert Member

  #8
  Oct 13, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Kuweni na akili kidogo...yani hawa wanachama wapya wa JF ni janga kubwa sana.Tazameni huyu nae.
   
 9. only83

  only83 JF-Expert Member

  #9
  Oct 13, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Mkuu hata mimi nimemwambia,kama ndio wasomi wa UDSM wako hivi basi UDSM imekwisha kabisa na kubakia jina tu...Hajui kujenga hoja,hana mtiririko mzuri ili mradi kaandika tu.....
   
 10. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #10
  Oct 13, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,377
  Trophy Points: 280
  Kwa hii kauli hapa juu,
  Mimi naona na wewe una analysis za kijinga. Yaani mtu mmoja ndio akufanye utuone sisi wanachuo wote wa udsm hatuna hadhi?

  Kumbuka ulimwambia Senetor
  sasa naona na wewe, unajishushia hadhi, Senetor ni Senetor, na alivyo yeye ni yeye, na sio wanachuo wa udsm wapo kama Senetor, kila mtu yupo kivyake. Wewe changia mada, sio kuhukumu tu watu na chuo kizima.
   
 11. m

  mzee wandimu JF-Expert Member

  #11
  Oct 13, 2011
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 441
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  naona wasomi mnajadili mambo yamsingi! hongereni sana!
   
 12. M

  Morinyo JF-Expert Member

  #12
  Oct 13, 2011
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 2,482
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
   
 13. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #13
  Oct 13, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  humu kwenye hili jukwaa kuna baadhi ya watu huwa tabia zao sio nzuri, hasa hasa tabia ya kusifia chuo flani mtu anachosoma,,, huwezi kujua mtu anapenda chuo flani kwa sababu zipi, let me give u a simple example, mimi niliapply vyuo, na nikapata udsm coet - civil n structural engineering, na pia nikapata ardhi - architecture, pia nilipata na st. Joseph - civil engineering, lakini, my heart waz in architecture, soo nikapiga chini udsm na st. Joseph nikaenda ardhi,,, watu wengi sana waliniona mjinga, but it helps nothing, nimemaliza chuo, kazi nimepata, na ninaenjoy what i am doing, sasa je kama ningeenda udsm kisa jina, leo nisingekua naperform kazini, coz ningesoma kitu ambacho sikipendi, lakini nafuata tu jina la chuo,, soo plizzz my fellow jf memberz, stop judging chuo kama chuo, kila mtu ana sababu zake za kwenda kusoma chuo fulani kwa malengo fulani,, its not a time ya kuanza kupondana vyuo, eti waliosoma chuo flani ni vilaza,,, huyo huyo unaemuita kilaza, pamoja na chuo alichotokea anakuja kua boss wako kazini, utajisikiaje????,
   
 14. data

  data JF-Expert Member

  #14
  Oct 13, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,787
  Likes Received: 6,559
  Trophy Points: 280
  uliwezaje linganisha elimu ya mzumbe wakati huijui na hijawahi soma pale... mende wewe
   
 15. N

  Ngo JF-Expert Member

  #15
  Oct 13, 2011
  Joined: May 25, 2010
  Messages: 284
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Senetor Nakumbuka mwaka 2009 wakati ndo nimemalza 4m 6,mzumbe university walikua wanaringa kuchukua wanafunzi 2naotegemea Heslb na badala yake wakawa wanachukua wa2 wenye dv 3 wengi kwa kigezo cha kwamba wao ni private sponsered.kiukwel mwenyewe wakati niko secondary nlikua na ndoto za kusoma mzumbe cku moja kutokana na sifa kem kemu nlzokuaga nazckia zikikitangaza hcho chuo,bac ikatoe muda wa kufanya application ulvofka,nkaaply udsm,mzumbe,IAA na udom,Matokeo yangu hayakuwa mabaya sana kiac cha kunifanya nikose chuo chochote hapa ulimwenguni..cha kushangaza selection zlvotoka nkawa nimepata udsm,IAA,na Udom lakini mzumbe wakawa wamenipga chini,wel nkaconfirm zangu kwenda udsm lakini nkiwa na huzuni kwan chaguo langu lilikua mzumbe na wao wamenpga chini,kufika udsm na nilipozoea shule..nkaanza kufanya comparisons kati ya udsm na mzumbe nione wapi pana shule ya ukweli,nkaja kugundua kwamba mzumbe wanahitaji miaka takribani 50 ili kufikia nusu ya mafanikio ilyonayo udsm..sasa nkawa najiuliza zile mbwembwe nlzokua nazkia kuhusu mzumbe zlikua ni za nin?baadae tcu wakashka rungu la kupangia wa2 vyuo,ndo siisikii tena hyo mzumbe kabisa,cjui imefia wapi vile,nimebaki kuckia madogo wakikimbilia kuaply udsm,sua,udom,ifm na muhimbili..cjui wamegundua mchezo gani mchafu unaochezwa huko mzumbe hadi hawakishobokei tena kama enzi ze2.....
  Dogo hujaacha tu tabia ya kulinganisha vyuo?. Nikiingia hili jukwaa topic zako nyingi ni kulinganisha vyuo tu.... na bado ndo uko chuo unaona hapo ulipo ndo bora. Watu wangekuwa wanatoa majina ya vyuo walivyosoma hapa jukwaani mbona vyuo vyote hapa TZ vipo chini sana kwa ubora? Wewe komaa tu umalize shule yako uingie mtaani na siyo kulinganisha UDSM Vs Mzumbe, SUA, IFM, IAA, nk. Na wewe siyo bora sana kuliko hao wanaosoma hivyo vyuo vingine, kila mtu ana sababu yake inayomfanya akasome chuo kile anachokipenda. Na ambao hawakusoma/hawasomi UDSM siyo vilaza kama wewe unavyodhani. Njoo mtaani huku hizo mbwembwe zako zitaisha....

   
 16. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #16
  Oct 13, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Senetor maliza kwanza shule then karibu mtaani uone, endelea kujiona bora tu, wengi tu walikuwa na kelele kama zako

  nina imani kitaa kutakuonesha kwamba Elimu ni uwezo sio cheti...
   
 17. s

  sixmund6 Senior Member

  #17
  Oct 13, 2011
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hahahahahaha! Ile siyo tuition! Ila ni mzumbe TUISHIENI....
   
 18. s

  sixmund6 Senior Member

  #18
  Oct 13, 2011
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mwambio huyo! Asiwe anaropoka ropoka tu bila mpangilio wa kihesabu! Mana anatushusha hadhi hadi sisi wanafunzi wa hapa kibaha sec tunaotegemea kwenda udsm next year.
   
 19. s

  sixmund6 Senior Member

  #19
  Oct 13, 2011
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Duuuu!
   
 20. s

  sixmund6 Senior Member

  #20
  Oct 13, 2011
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ? ? 0 ? ?
   
Loading...