Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Wana JF. Basi, ikiwa zimebaki siku chache ili wanafunzi wa kidato cha sita waanze mitihani ya kumaliza elimu ya juu ya Sekondari, ni muhimu sasa kuwapa ushauri wakasome kozi ipi itakayowasaidia...
2 Reactions
12 Replies
11K Views
Kwa anayeelewa juu ya Jambo Hili inakuajeh kuna effect zozote kwa muombaji maake ukiandika namba ya shule inaleta jina but ukiprint form inakuja sehemu ya advance pameandikwa school name not found
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naamini mu wazima wa afya. Nlikuwa naomba msaada wa utofauti kati ya Wildlife Management na Tourism Management. Naona ni course tofauti zipo SUA ila sijazielewa. Karibuni sana
0 Reactions
9 Replies
4K Views
TCU wanataka PHY, CHM, BIO, B/MATH na ENG yote uwe na angalau alama D ila Mm Clinical medicine diploma nna GPA -4.6 O_level Phy-C Chm-C Bio-C Eng-E B/Math-F
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu. Naomba kujuzwa jinsi ya kufaham kiasi cha pesa unachodaiwa na heslb kwa mnufaika aliyehitimu. Thanks in advance!
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Jamani,kuna shule ya kikatolic ya masista wa mt Mary huko Kisarawe, Wengi wanaoiendesha hiyo shule ni masista wa ki filipino.Cardinaly Pengo alitoa hekari 150,ili wajenge hiyo shule, Inachukuwa...
10 Reactions
24 Replies
10K Views
Habar zenyu wana JF! Naomba msaad wenu kwa vyuo vizur ambavyo naweza soma IT au computer science nikatoka na uzoef(theory and practical) ambao utanifany nifanikiwe katka fani hizo either kwa...
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Wakuu samahan, nataka kujua kwa mtu anayeelewa zaid kuhusu hiki chuo cha DIT anambie ni wanafunzi wangap wa mechanical engineering hiki chuo kinaweza kubeba?
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Chuo cha Uhasibu cha Arusha,IAA kimetoa ufafanuzi juu ya taarifa zilizo sambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba wanafunzi wa chuo hicho wameandamana usiku wakidai fedha za mikopo kutoka bodi ya...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Naombeni msaada mafundi simu mnisaidie nijifunze na mimi ufundi hata nikienda chuo nisikose mia mbili mia tatu za ufundi. Kwa sasa nipo tu nyumbani sina kazi, sina kibarua chochote licha ya...
1 Reactions
22 Replies
8K Views
Ndugu zangu naombeni msaada, mimi nilihitimu Form Six 2017 ila sikwenda chuo japo nilichaguliwa sasa mwaka huu nilipofanya applications system zinanikataa zinasema tayari nishakuwa admitted kwenye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naombeni kujua kuhusu vyuo huria maana sijui chochote na jee kuna Open Univecity za medical? Msaada na samahani kwa kiswahili kibovu
0 Reactions
1 Replies
906 Views
HABARINI: Mbona dirisha la udahili undergraduates hawajafungua bado? ARU.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naulzia mtu yeyote aliefanya au anaefanya mitihani ya bodi ya tiob
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hizi apa guidebook mpya kutoka TCU download uangalie vigezo vya kujiunga na kila fani Ukiwa una swali lolote lile unaweza kuuliza.
1 Reactions
40 Replies
13K Views
Habari wakuu naomba kuelimishwa kuhusiana na hio Kozi hapo juu inayotolewa UDOM inahusika na nini haswa?
1 Reactions
11 Replies
10K Views
Habari zenu wadau wa Elimu I hope mko poa, mimi ni mtu ambaye nimesoma Certificate (Astashahada/Cheti) katika moja ya vyuo vikubwa 2 hapa nchini, lakini pia nimefanikiwa kusoma...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habarini wana JamiiForums, Nilikuwa naomba kujuzwa kama kuna mtu miaka ya hivi karibuni amechaguliwa kusoma Nursing au Pharmacy kwa ngazi ya degree na alisoma CBG.
1 Reactions
48 Replies
39K Views
Habari wana JF, Mimi ni mwanafunzi wa Chuo cha Afya ngazi ya Diploma nachukua Diploma ya Clinical Medicine. Kwa sasa nipo mwaka wa kwanza ndo tuliorudishwa kwenye hii likizo lakini nilikuwa tayar...
0 Reactions
32 Replies
15K Views
Wadau kwa wanaofahamu taratibu za mtu kuweza kuhama chuo anijuze
0 Reactions
10 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…