Je, Bodi ya Mikopo (HESLB) wataongeza muda wa maombi ya mkopo?

TIASSA

JF-Expert Member
Jun 17, 2014
2,893
3,423
Kutokana na ucheleweshwaji wa uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa na RITA, je bodi ya mkopo ya vyuo vikuu wataongeza mda au wale ambao wanasubiri kupata uhakiki wa vyeti wa fanyaje ikiwa deadline ya kutuma maombi ni jumatatu tarehe 31 August?

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Nafikiri wataongeza mda, ila sio moja kwa moja. Watafunga kwanza then watafungua tar yoyote. Ila mda utakuwa mfupi
 
Jamani naombeni mnielekeze kuhusu huu muda bodi ya mikopo waliyoongeza,. Wamesema ku apply on-line, je ile ya zaman kutuma haihusiki?
 
Fanya application online, kwa kufuata hatua zote kwa umakini mkubwa sana.sehemu za ku upload picha,vitambulisho na vyeti, fanya hivyo.print form yako saini mwanafunzi,mdhamini,serikali ya mtaa na mahakamani.Kisha upload form no.2&5 kwa namna system itakavyo kuelekeza na kisha submit form yako.Hapo utakuwa umemaliza kwa hatua ya mwanzo ya online. Kisha chukua form zako ambazo ni printed, ziko page sita attach documents zako zote za kitahaluma,vitambulizho vyote hivyo viwe vimesainiwa na kuwekewa muhuri na akimu au wakili.Kisha tuma posta kwa EMS bodi ya mikopo.Hapo utakuwa umemaliza,subiria majibu.
Shukran mkuu. Vip wanafadhili watu wanaotaka kusoma Diploma?
 
Back
Top Bottom