Ajabu, NACTE wamefuta jina la mwanangu.

Ajabu, NACTE wamefuta jina la mwanangu.

ufumawicha

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
510
Reaction score
213
Alikuwa kachaguliwa kozi ya clinical medicine.Nilipowapigia simu waliniomba particulars zake,baada ya muda jina sikuliona tena nisaidieni wadau.
 
walikuomba details gani?

waliomba namba ya simu pamoja na e mail iliyotumika na wakadai zile mpesa confirmation code wao pia wanazo baada ya hilo jina sikuliona tena nawapigia simu wanadai eti ni mtandao lakini si kweli.
 
Angalia namna ya kuwafuata huko huko ofisini kwao.
 
Msaada jamani nahisi mwanangu amedilitiwa maana mara ya mwisho kumuona kwenye intanet ilikuwa ijumaa saa 2 asubuhi.NACTE niliwapigia simu wakadai eti ni mtandao ila nina wasiwasi sana.
 
Nimejaribu sijaona;
Wasiliana na wizara husika mkuu.
 
Hivi ni kweli .... jaribuni kutuzama vizuri tena na tena huenda ni matatizo ya mtandao kweli....ikishindikana.si ulisema matokeo aliyasave bas wafuate huko na pia panda ngazi za juu kwa msaada zaid
 
Wamemdelete ijumaa,eti alikuwa hajaconfirm lakini days before nilikuwa nimewaambia kuwa mwanangu ana tatizo kuconfirm inamgomea,wakaniambia nisihofu.Wakaomba details za mwanangu nikatoa baada ya muda sikuliona tena jina lake mtandaoni.Nikawapigia simu wakadai ni mtandao umeyumba kumbe ulikuwa uongo leo nawapigia simu wanadai eti nikumbuke jina la niliyeongea naye,wakati mimi niliongea na watu wa admission.
 
Nacte,nacte ,nacte bado mwanangu ataendelea kuwalilia kwa kumdelete.Yani bora hata mfumo wa zamani,wizara ya afya ilikuwa adilifu.
 
Nacte,yani bado sijaamini mmemdelete mwanangu hiv hivi,mbaya zaidi alikuwa kishajiona mtandaoni!!
 
Nacte,yani bado sijaamini mmemdelete mwanangu hiv hivi,mbaya zaidi alikuwa kishajiona mtandaoni!!

Wewe nawe unavyolalamika bila action unanikera kwa kweli.
Nenda physicaly ofisini kwao ukiwa umeprint hayo majina uliyosevu katika simu yako.

Ukikaa tuu nyumbani kwako na kusolve kwa kuwapigia simu kila siku utaishia kulalamika tuu.
ikibidi nenda hadi wizara ya afya onana na katibu mkuu au mkurugenzi.
 
Alikuwa kachaguliwa kozi ya clinical medicine.Nilipowapigia simu waliniomba particulars zake,baada ya muda jina sikuliona tena nisaidieni wadau.
sorry mkuu vipi ulifatilia ishu ya mwanao na je ulifanikiwa kuingizwa tena kwenye mfumo na aliendelea na masomo au iliishia wapi
 
Back
Top Bottom