Kwa ufaulu huu naweza soma Medical Doctor (MD)?

Escotter20

JF-Expert Member
Jul 20, 2020
465
842
Shikamoni wakubwa, polen na majukumu,

Mim mdogo wenu nimemaliza form six mwaka huu, nilikua nasoma PCB, nimepata ufaulu wa div2 pts 10 yan D-CHEMESTRY,C-BIOLOGY na C-PHYSCS.

Wakubwa zangu naulza kwa ufaulu huu je naweza kupata kozi ya udaktar yan MD.AU ni kozi gani itanifaa mdogo wenu

Nakaribisha mawazo yenu wakubwa zangu
 
Shikamoni wakubwa.Polen na majukumu,mim mdogo wenu nimemalza form six mwaka huu , nilikua nasoma PCB, nimepata ufaulu wa div2 pts 10 yan D-CHEMESTRY,C-BIOLOGY na C-PHYSCS....Wakubwa zangu naulza kwa ufaulu huu je naweza kupata kozi ya udaktar yan MD.AU ni kozi gani itanifaa mdgo wenu ...Nakaribisha mawazo yenu wakubwa zangu
 
Mkuu mbona upo vizur usijiogope MD unaweza kupata lakini achana na MUHAS, jaribu kuomba CUHAS na vyuo vingine.
 
Shikamoni wakubwa, polen na majukumu,

Mim mdogo wenu nimemaliza form six mwaka huu, nilikua nasoma PCB, nimepata ufaulu wa div2 pts 10 yan D-CHEMESTRY,C-BIOLOGY na C-PHYSCS.

Wakubwa zangu naulza kwa ufaulu huu je naweza kupata kozi ya udaktar yan MD.AU ni kozi gani itanifaa mdogo wenu

Nakaribisha mawazo yenu wakubwa zangu
Kama Unataka kusoma Md CUHAS nichk pm
 
Jaribu kuapply vyuo vya private unaweza pata ila kwa vyuo vya serikali ushindani ni mkubwa sana
 
Mwacha apply vyuo vyote viwe pravite au public, kwani kupata chuo ni Kama kubeti tu 1.6 anaacha 1.9 anachukuliwa.
 
Shikamoni wakubwa, polen na majukumu,

Mim mdogo wenu nimemaliza form six mwaka huu, nilikua nasoma PCB, nimepata ufaulu wa div2 pts 10 yan D-CHEMESTRY,C-BIOLOGY na C-PHYSCS.

Wakubwa zangu naulza kwa ufaulu huu je naweza kupata kozi ya udaktar yan MD.AU ni kozi gani itanifaa mdogo wenu

Nakaribisha mawazo yenu wakubwa zangu
Yeah unaweza kusoma MD kipindi chetu sisi hiyo ulikua unapata vyuo vizuri , kama mimi nlipata KCMC, ila kwa sasa jaribu kuapply vyuo vya private na maybe UDOM ( sina uhakika na UDOM) ila KCMC, CUHAS na MUHAS itakua ngumu kwa sababu siku hizi division one za PCB nyingi so competition ni kubwa huko..
Ahsante.
Masesa MD.
 
Shikamoni wakubwa, polen na majukumu,

Mim mdogo wenu nimemaliza form six mwaka huu, nilikua nasoma PCB, nimepata ufaulu wa div2 pts 10 yan D-CHEMESTRY,C-BIOLOGY na C-PHYSCS.

Wakubwa zangu naulza kwa ufaulu huu je naweza kupata kozi ya udaktar yan MD.AU ni kozi gani itanifaa mdogo wenu

Nakaribisha mawazo yenu wakubwa zangu
Kama unampango labda vyuo vya private
 
Hivi principal pass ni kuanzia alama ngapi ktk grades za A,B,C,D,E?

Na je E ni principal pass?
Msaada wadau.
 
MD baba lao nendeni vijana ila mkija mtaani mtajua umuhimu wa kuchagua kozi zenye uwanja mpana wa ajira.

Kiongozi si lazima uajiriwe serikali ya magu ikuajir baady y kumaliza intership, unaweza ukasaka ajir nchi za jirani Kam Kenya na nchi nyngine....
MD ni course yenye uanda mpana Sana wa ajir has kwa kipind hch Cha corona virus..
 
Back
Top Bottom