Naomba ushauri wenu nisomee field gani?

Naomba ushauri wenu nisomee field gani?

THEBADDEST

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2019
Posts
247
Reaction score
140
Naombeni ushauri wenu nimefaulu vizuri PCM je, munanishauri nisomee nini?

Na vipi kwenye ajira
 
Nimemaliza form six pcm nimefaulu fresh
Naomba ushauri wenu nisomee field gani yoyote ambayo ni nzuri kwa masomo niliyofauli.

Hakuna uamuzi niliofanya ila naomba ushauri wenu ili niweze kufanya uamuzi sahihi.

Pia katika ushauri wenu naombeni mzungumzie na kwenye suala la ajira.
 
Tafuta engineering courses... I guess any course can do! Note: Vijana walikimbilia field ya gesi na mafuta.. at the end of the day kumbe tulikuwa bado kuiweka field hiyo katika sehemu ya industry ya kuajiri watu!
 
Nimemaliza form six pcm nimefaulu fresh
Naomba ushauri wenu nisomee field gani yoyote ambayo ni nzuri kwa masomo niliyofauli.

Hakuna uamuzi niliofanya ila naomba ushauri wenu ili niweze kufanya uamuzi sahihi.

Pia katika ushauri wenu naombeni mzungumzie na kwenye suala la ajira.

Kufaulu fresh ndio ufaulu gani huo ? Division one, division two au Three ?? Fafanua hapo mkuu
 
Kasome Education uje kufundsha mathematics watoto waje kua maPCM kama ww ulivyo, Ajira zipo kwan baada ya miaka kadhaa kutakua na shortage ya waalimu wa masomo ya sayansi
 
sema kwanza ufaulu wako ila kama umefaulu vizuri
mimi binafsi naweza kukushauri.
1.Civil engineering
2.Chemichal and precessing engineering
3.Water resources engineering
Na wengine wataongeza
 
Ajira zipo nyingi serikalini, kwenye makampuni ya ujenzi pia ni rahisi kuanzisha kampuni yako tofauti ta field zingine
Kasome field zinazohusika na construction industry, mfano civil (structucture) engineering, architecture au interial design
 
Vipi kuhusu ajira
Ajira zipo nyingi serikalini, kwenye makampuni ya ujenzi pia ni rahisi kuanzisha kampuni yako tofauti ta field zingine. Kifupi construction industry inakuwa kila siku. So huwezi kushindwa kuajiriwa au kujiajiri mwenyewe.
 
Nimemaliza form six pcm nimefaulu fresh
Naomba ushauri wenu nisomee field gani yoyote ambayo ni nzuri kwa masomo niliyofauli.

Hakuna uamuzi niliofanya ila naomba ushauri wenu ili niweze kufanya uamuzi sahihi.

Pia katika ushauri wenu naombeni mzungumzie na kwenye suala la ajira.

kasome any science course ambazo wadau wamezitaja depend on your interest...now days usije ukasema unaenda kusoma ukajipa ata 30% yakupata ajira no matter coz unayo soma ,,,, graduates're thousands kwa mtaa na sio kwamba wana ufaulu afifu, they've gpa kubwa ....what matters here kama unaenda kusoma ondoa kabisa confidence ya kuajiriwa ndugu ili ujiandae psychologically ili pia ata utakapo kua uko chuo ujiandae kimkakati jinsi ya ku survive after school japokua kama baati 1in thousand unaeza uka baatika kuajiriwa but that's rare case.... best of luck
 
Back
Top Bottom