Taasisi au Benki gani inayotoa mkopo wa elimu ya juu?

nyumbamungu

JF-Expert Member
Mar 3, 2017
997
828
Mbali na Bodi ya Mikopo (HESLB) kuna mwenye kufahamu Taasisi au Benki yoyote inayotoa mikopo kwa wanafunzi wanaosoma kwenye vyuo hapa nchini?
 
Sikombali na wewe, mwaka juzi kuna taasisi moja ilijitokeza kuwa inatoa mikopo kwa wanafunzi wanaosoma vyuo vikuu baadae suala lilifika Bungeni ikagundulika hiyo taasisi haijasajiliwa, wakati huohuo nikasikia NBC benki wakitangaza wanatoa mikopo ila sijasikia muendelezo wake.

Kiongozi hapo, baad ya kusoma comment ya baloz mmoja hapo juu, nahisi Ni vigumu Sana kukopesha pesa kwa ajili ya elimu ya juu hila nishawah kusikia CRDB wanatoa mikopo ya elimu Sasa sijui inatolewaje.
 
Back
Top Bottom