Naweza kupata chuo kusoma Udaktari 2020/2021?

Tyanyi

Member
Jun 12, 2020
19
8
TCU wanataka PHY, CHM, BIO, B/MATH na ENG yote uwe na angalau alama D

Ila mimi Clinical Medicine diploma nna GPA -4.6

O_level
Phy-C
Chm-C
Bio-C
Eng-E
B/Math-F
 
Tyr mkuu ila nina wasi wasi na hiyo E ya Eng pamoja na F ya B/math maana TCU wanataka hayo masomo angalau uwe na alama D
 
Una sifa zote. muda ni huu, omba vyuo vyote vya serikali na binafsi (huku bnafsi utapata tu, ni hela yako maana una sifa). Serikali ushindani mkubwa wa ufaulu..... try!
 
Hii ndo TZ kila kukicha mabadiliko, mtu sifa ya kusoma diploma ulikua nayo ukifika degree sifa huna yan NACTE wanavigezo vyao TCU nao wanavigezo vyao.
 
Hivi principal pass ni kuanzia alama ngapi ktk grades za A,B,C,D,E?

Na je E ni principal pass?
Msaada wadau.
 
Tyr mkuu ila nina wasi wasi na hiyo E ya Eng pamoja na F ya B/math maana TCU wanataka hayo masomo angalau uwe na alama D
Muhas huwezi kupata na ondoa hilo wazo maana matokeo yako ya O level yamekuangusha na pia ushindani mkubwa. kama una uwezo jaribu vyuo vingine vya private...
 
Wanazingua sana bora wangekataa mapema ili kama ni kurudia hayo masomo mawili nirudie mapema

Pole Sana kiongozi, nenda diploma then ndo uende degree,na Kama unataka kurudia mtihani. Je, una uhakika utapata zaidi ya hicho ulichopata? Kam jibu ni NDIO enda kajaribu kurudia pepar lakin Kam jibu HAPANA Bora upaki na diploma yko kiongozz so kuwa makini vinginevyo tuonane JF 2021 ukiwa na thread mpya.
 
Back
Top Bottom