Nitaweza kusoma Master's ya Finance nikihitimu Bachelor in Business Administration?

Guy Isaac

Senior Member
Aug 10, 2019
126
60
Mimi ni mwananfunzi wa mwaka wa 2, nasoma Kozi ya Bachelor's in B'ness Administration(BBA). Ningependa kushare nanyi katika hili.

Naomba kufahamu briefly au shortly, naweza kusoma Master's ya Finance Endapo nikigraduate degree yngu? Na je, itachukua mda gani? Nitashukuru kwa comment yko juu ya hili.

Mungu atakubariki pia.
 
Ni vema kupitia prospectus kwa vyuo vyako pendwa. Vyuo sametimes hutofautiana fafsafa.

Unasoma wap?

Hakikisha GPA inakuwa imenona ili kuongezaa uwanjaaa
 
Hii ni IAA

Screenshot_2020-08-09-10-33-39.jpg
 
Inawezekana kabisa usiwaze mkuu, wewe maliza degree yako ukiwa na LowerSecond unapata udahiri wa hiyo Masters ya Finance! Ila ukimaliza au ukiwa unaendelea fanya mtihani wa CPA kabisa
 
Mtihani wa CPA uko vipi huo kaka?
 
Mimi ni mwananfunzi wa mwaka wa 2, nasoma Kozi ya Bachelor's in B'ness Administration(BBA). Ningependa kushare nanyi katika hili.

Naomba kufahamu briefly au shortly, naweza kusoma Master's ya Finance Endapo nikigraduate degree yngu? Na je, itachukua mda gani? Nitashukuru kwa comment yko juu ya hili.

Mungu atakubariki pia.
Yeah inawezekana na tena ni rahisi sana Cha muhimu uwe na G P. A kuanzia 3.8 au 3.5 kulingana na chuo.
 
Back
Top Bottom