Tupeane mbinu kuhusu Online Teachers Application Sytem (OTEAS)

Oxpower

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
2,142
2,998
habari za uzima wana jamvi.

September 3 2020 waziri wa Tamisemi Seleman Jafo alitangaza nafasi za walimu msingi na sekondari.

Alidai dirisha litafunguliwa tar7 yani leo.

Sasa shida iko hivi,huu mfumo upo bize sana,hivyo naomba tupeane mbinu za kuingia kirahis na kujisajili kiufasaha.

Mimi nina lisaa mpaka saizi,hiyo form sijaiona,wala sehemu ya kulog in sijaipata.kila nikingia nakutana na tangazo la hizo ajira ,tangazo lipo katika mfumo wa picha/poster.
 
Kuna zile nafasi zilitoka kutaka walimu wanaojitolea wajaziwe taarifa zao na walimu wakuu wa shule July 10-20,nadhani idadi yao in zaidi ya hizo nafasi13,000
 
habari za uzima wana jamvi.

September 3 2020 waziri wa Tamisemi Seleman Jafo alitangaza nafasi za walimu msingi na sekondari.

Alidai dirisha litafunguliwa tar7 yani leo.

Sasa shida iko hivi,huu mfumo upo bize sana,hivyo naomba tupeane mbinu za kuingia kirahis na kujisajili kiufasaha.

Mimi nina lisaa mpaka saizi,hiyo form sijaiona,wala sehemu ya kulog in sijaipata.kila nikingia nakutana na tangazo la hizo ajira ,tangazo lipo katika mfumo wa picha/poster.
Naona Kam wanaweka mambo vizuri
 
nimeweza kulogin na kutuma maombi.. changamoto ni stage ya mwisho pale kwenye applicant teaching subjects, inaonekana masomo ya kufundishia hayapo yote, labda wayaupdate kadri muda unaokwenda
 
Back
Top Bottom