Wasalaam ndugu wanajukwaa
Mimi ni mhitimu wa chuo ngazi ya shahada, kozi ya ya Teknolojia ya Habari na Mifumo( Information Technology and System) inayotolewa Mzumbe Chuo kikuu, nina Gpa ya daraja la pili la juu (3.7), Mungu kasaidia sijawahi kuwa na kimeo (sup) kwa miaka yote
Kusudi langu kubwa ni kupata chance ya Kufundisha vyuo vya kati (certificate na diploma) kama Tutorial assistant, hivyo kama kuna dondoo ama njia ambayo inaweza kunisaidia kunipa wepesi wa kukamilisha ndoto yangu hii nitashukuru sana, niko tayari kwa chuo chochote kinachotambulika hapa nchini kwetu