Naomba ufafanuzi kuhusu Rural and community development

Aug 20, 2020
57
144
Salaaam

Naomba kuuliza hivi ukisoma kozi ya rural au community development unaweza kuajiriwa kama nan labda
BT kama nikikosa ajira najua cha kufanya so naomba tu huo msaada.

Ova
 
ACHA KUPOTEZA MUDA HIYO KOZI KWA SASA HAINA AJIRA WATU WAPO MTAANI TANGU 2013 MPK LEO,

sent from HUAWEI
 
Salaaam

Naomba kuuliza hivi ukisoma kozi ya rural au community development unaweza kuajiriwa kama nan labda
BT kama nikikosa ajira najua cha kufanya so naomba tu huo msaada
Ova
Kama mtendaji, katibu kata na tarafa, maendeleo jamii etc. La muhimu kwa Sasa soma kuondoa ujinga sio kuajiriwa. Kuna madaktari wanalipwa hela mbuzi
 
Back
Top Bottom