Macbook pro
JF-Expert Member
- Jul 15, 2020
- 753
- 1,106
Habari za wakati huu wana jamvi!,
Eeh kuna mdogo wangu yupo Chuo mwaka wa Kwanza diploma-Clinical Officer (VYUO VILIVYOPO CHINI YA NACTE)! Sasa nataka kumuhamishia chuo kingine ila tatizo sina ufahamu ni hatua gani za kuoitia ili kumhamisha Bwana mdogo aende chuo kingine!
Mwenye uelewa na ishu hii anisaidie niko kwenye uhitaji nalo hilo Jibu. Natanguliza shukrani