Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Wakuu naomba kuuliza Kama syllabus mpya kwa ajili ya wanafunzi watakaoingia darasa la 7 mwakani waliopo darasa la 6 mwaka huu ambao ilitakiwa wamalize shule mwaka huu, kwa maana kulikuwa na mpango...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
The Erasmus Mundus Joint Master Degree Programme is inviting applications for the Erasmus Mundus BDMA International Masters Programme in Europe 2020. The Erasmus Mundus Joint Master Degree...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii Ni kwaufupi sana. Vifuatavyo Ni Vyuo bora katika Nafasi na Taaluma zake. Taaluma na Chuo bora. 1-Mhimbili University of health and allied science (MUHAS) kwa Afya. 2-National Institute of...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Jamani nauliza hivi mtu aliyesoma shahada ya sanaa na elimu je? anaweza kufanya kazi gani nje ya kufundisha
0 Reactions
53 Replies
23K Views
Habari ndugu, Naomba kuuliza kama nitaruhusiwa kuappeal mkopo kwani nilipata asilimia chache sana kwa mwaka wakwanza na nilishindwa ku-appeal kipind kile kutokana na sababu zilizokua nje na uwezo...
0 Reactions
0 Replies
923 Views
Vijana hawajui fate yao na vyuo vinafuguliwa 16/11/2020. Huwezi kufanya lolote bila matokeo ya mitihani, tatizo liko wapi? CEO wa NACTE unafeli wapi?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini wakuu naomba tujuzane kozi zenye wahitimu wachache Tanzania ikiwezekana tujuzane na idadi ya wahitimu
0 Reactions
71 Replies
20K Views
Wadau wote tunajua jinsi gani Social media ikiwemo Favebook zilileta mabadiliko makubwa katika ulimwengu wa leo kuanzia Siasa, kiuchumi na hata Kiutamaduni sasa hapa najaribu kufikiria je matokeo...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Chuo cha Usafirishaji (NIT) kitaanza kutoa mafunzo ya urubani ambapo tayari kimepokea Tsh. 48.9 bilioni kutoka Benki ya Dunia (WB) kwa ajili ya ununuzi wa ndege 3 za mafunzo, kujenga karakana, na...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Habari wanajamii ,namaswali naomba tusaidiane kuhusu koz ya business administration kwa bachelor d *kozi ipi Bora ya B.A ya -BA in general , - B.A in logistics and procurement, -B.A in marketing...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Habari zenu wadau,husika na kichwa cha uzi hapo juu naomba kujuzwa mbinu,ujanja na connection ambazo watu wanatumia hadi wanafanikiwa kubadili course hapo Udom. Kwa ufupi mimi nimechaguliwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mdogo wangu mpendwa amechaguliwa hapo first round, naomba msaada kufahamishwa mambo kadhaa.. 1. Malazi, vp kuhusu hili, kuna hostel za kutosha au ajipange kuchukua room mtaani, au anatakiwa awahi...
2 Reactions
52 Replies
8K Views
Habari wadau na wakereketwa wote wa elimu ya bongo. Mimi ni kijana mwenzenu ambaye TCU ishanikatisha ndoto za kuwa daktari si bongo tu dunia nzima MD ina ushindani sana. TCU guide book...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Msaada tutani, naomba kufahamu ni chuo kipi kinaweza kumruhusu mwanafunzi wa PhD kuandika Thesis kwa kiswahili au ni nchi ipi. Msaada. UPDATES: --------------------- Maana yangu ni kwamba kuna...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau habari zenu, Nahitaji kuhama chuo lakini sijui taratibu za mimi kufanikisha hili suala langu. Tafadhali nisaidieni kujua taratibu za kufuata hili nifanikishe hili.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za humu wakuu, Naomba kuuliza kuhusu nacte mwaka huu kuna issue gani inaendelea? Mbona wamechelewa sana kutoa matokeo ya semester two ? Je, matokeo ni mabaya sana? Mwenye anajua au...
1 Reactions
3 Replies
975 Views
Anayejua anipe taarifa maana kuna dogo kachaguliwa hapo, na vip kuhusu upatikanaji wa nyumba za kupanga ukoje? Karibuni wadau
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Salute Bosses!!! Habari mkuu , Leo nipo kwenye moody kabisa wa kukuletea uzi ambao hujawahi kufundishwa shule, chuo ama nyumbani!!! Yaani nataka TUJIFUNZE madini muhimu sana ambayo ni kama...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Ndugu zangu wanaJF, ninaomba mwenye uelewa kuhusiana na hili swala anisaidie nilielewe. Nitajaribu kulielezea mpaka pale uelewa wangu utakapokwamia. Katika kipindi cha nyuma, ulipaji wa ada...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hello, Wakuu hivi kuna member humu alishawai pata hiyo kitu au aulishawai. Hii encounter kitu kama hicho hata kwa mtu wa chuo kimoja? Vp taratibu zake pale TCU?
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…