Natafuta Shule ya Sekondari ya Serikali ya Wasichana ili nimuhamishie mdogo wangu

Mtulivujohn

Member
Nov 2, 2018
43
95
Wadau kwanza nawasalimu kwa upendo wa mungu nina matumaini wazima wa Afya.

Bila shaka Nina matumaini apa nko mahali sahihi ya watu wenye uelewa tofauti tofauti ila nina imani nikikutanisha mawazo yao nitapata wazo la kuifanyia kazi

Ninaombeni kwa mwenye uelewa Kama kichwa kinavyojieleza Mimi nina mdogo wangu amemaliza shoule ya msingi na nataka nimtafutie shule za Sekondari za bweni nje ya Arusha iwe Kilimanjaro, Tanga, Singida, Dodoma ama Morogoro iwe ni shula ya Wasichana ya Serikali

Yeye amemaliza Darasa la Saba na ana Grade ya B na alisomaga bording kuanzia la kwanza mpaka Darasa la Saba hivyo naombeni kwa anaefahamu shule Bora ya Wasichana ya Serikali ndani ya hiyo Mikoa anisaidie

Natanguliza shukrani
 
mhuri25

JF-Expert Member
Sep 3, 2016
1,773
2,000
Ni shule maalum ama ya serikali ila sio maalum na je upatikanaji wake HAINA masharti Sanaa
Iringa gals, shule ile ni special school kwa watu wenye matatizo ya usikivu ila hata wasio na changamoto wapo pia mkuu, Kikubwa jaribu tu kutafuta ila hizo Sijui msalato na kilakala hata usijisumbue
 
Mtulivujohn

Member
Nov 2, 2018
43
95
Iringa gals, shule ile ni special school kwa watu wenye matatizo ya usikivu ila hata wasio na changamoto wapo pia mkuu, Kikubwa jaribu tu kutafuta ila hizo Sijui msalato na kilakala hata usijisumbue
Nashukuru Sana kamanda na je Hailazimu kuwa serikali mpaka ndo ikupangie? Kama kilakala na msalato Au una uwezo wa kuhamia tu
 
Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
28,282
2,000
Ushauri wangu ni hivi.....
Kwanza subiri binti apangiwe shule na serikali, kisha mpeleke akaanze kusoma kwenye shule aliopangiwa.
Baada ya miezi mitatu, zua la kuzua kisha nenda kwenye shule unayo hitaji kumuhamishia binti. Kisha omba nafasi ili binti ahamie (jibu utaambiwa zimejaa), kisha kunjua roho ili upewe nafasi ya muda na kisha kamuhamishe binti na mengine utajiongeza
 
Me too

JF-Expert Member
Feb 9, 2015
4,667
2,000
Mwanachuo na ka form one wapi na wapi! Yaan uache ukuu wa mkoa ugombee ubunge!
Usibishe usichokijua,,,, ukute hata IRDP hujui kirefu chake wala hujui ilipo.

Wanafunzi siku za outing day unajua wanakoendaga? Je wanachuo wote huwaga wapi hostel za vyuo tu? Umbali wa shule na chuo unaujua? Vitu vingine usimbishie aliepangisha wanachuo.
 
balibabambonahi

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
9,231
2,000
Usibishe usichokijua,,,, ukute hata IRDP hujui kirefu chake wala hujui ilipo.

Wanafunzi siku za outing day unajua wanakoendaga? Je wanachuo wote huwaga wapi hostel za vyuo tu? Umbali wa shule na chuo unaujua? Vitu vingine usimbishie aliepangisha wanachuo.
Haya wewe unayejua,leta ushahidi .Au huwa unawashikia miguu? Ungekuwa mjanja usingeleta upuuzi kama huu hapa.Ni wapi ambapo una uhakika tendo la ngono halifanyiki here on Earth?
 
Ha ha haaaah daah!

Mtoa mada anacho kikimbia ndicho hichohicho kilichopo sehemu zote ni bora atulie na binti yake kuliko kumuhamishahamisha.

Hiyo ndo point kuu.
 
Kashaija72

Senior Member
May 18, 2020
192
500
Usibishe usichokijua,,,, ukute hata IRDP hujui kirefu chake wala hujui ilipo.

Wanafunzi siku za outing day unajua wanakoendaga? Je wanachuo wote huwaga wapi hostel za vyuo tu? Umbali wa shule na chuo unaujua? Vitu vingine usimbishie aliepangisha wanachuo.
Duuuh!!
 
adolay

JF-Expert Member
Dec 8, 2011
11,580
2,000
Wadau napenda kujuwa shule bora kabisa 6 za wasichana Advanced level hapa Tanzania.

Private

Nina binti yangu kumaliza O level 2020.
 
Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
28,282
2,000
Wadau napenda kujuwa shule bora kabisa 6 za wasichana Advanced level hapa Tanzania.

Private

Nina binti yangu kumaliza O level 2020.
Kwa Advaced leve, nakushauri umuache arnde shule za Government kwa hapa Tz zipo vizuri zaidi
 
Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
28,282
2,000
Asante Ushimen

Ila sio zote nzuri mkuu.
Of course, sio zote nzuri zaidi nakushauri usubiri uone amechaguliwa shule gani kisha utafanya mabadiliko kutokana na utakavyo itathmini shule atakayo pangiwa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom