boy 1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2016
- 414
- 395
Lengo la uzi huu ni kupeana elimu juu ya majanga ya moto na uokoaji.
Tupia chochote unachofahamu kuhusu njia za kukabiliana na majanga ya moto.
Vifaa vinavyotumika na jinsi ya kuvitumia.
Vinapatikana wapi na vinauzwa bei gani.
Na unatakiwa uviweke sehemu gani kabla majanga ya moto hayajakukuta.
Note: moto unazimwa ukiwa bado mdogo