Naomba ufafanuzi kwa hili la Mkopo kwa wanafunzi wa mwaka wa pili

kokosai

Member
Dec 25, 2018
49
19
Naomba kufahamishwa wakuu, kwa continue student aliyepangiwa mkopo, inasemekana jina lake linapelekwa chuoni kwake, je akiingia kwenye SIPA ataona kama amekuwa allocated mkopo au la?
 
Back
Top Bottom