Natamani kusoma kozi za afya

ki2kombora

Member
Feb 19, 2018
49
83
Habari za leo ndugu zangu!! Nimemaliza kidato cha nne na kupata alama zifuatazo
Biology C Chemistry D Mathematics D Physics F Geography C English B Naomba msaada naweza kusoma kozi gani ya afya?
 
Hapo itakuwa ngumu mkuu.. Kwasababu una F ya fizikia... Sifa na vigezo vya nacte wanataka atleast uwe na D tatu katika masomo ya sayansi yaani kemia -D, baolojia -D na Fikizia -D ili uweze kudahiliwa kozi za afya katika level ya cheti kama vile maabara,famasia na clinical officer
 
Wamebadilisha vigezo angalia guidebook ya mwaka huku

Pharmaceutical science na Community health ndio hazihitaji D ya Physics basi, kozi nyingine zinahitaji ufaulu Wa Physics
 
Habari za leo ndugu zangu!! Nimemaliza kidato cha nne na kupata alama zifuatazo
Biology C Chemistry D Mathematics D Physics F Geography C English B Naomba msaada naweza kusoma kozi gani ya afya?
Apply for pharmaceutical science certificate or diploma na muda wa application ndio huu till August.....
Tembelea website ya NACTE utaona vyuo chagua ukipendacho kwa vigezo vyako then fanya application chap..
 
Yaah sure nimeona kwenye guidebook yao hapa... Mtoa mada you are lucky bro.. Unaweza kusoma kozi ya afya diploma/cheti famasia
Ni sahihi kozi ya pharmaceutical science certificate na diploma wameondoa kigezo cha ufaulu wa somo la fizikia .
 
Kama umeshindwa kupata D ya Physics O Level lazima udisco tena mwaka wa kwanza tu
 
Apply for pharmaceutical science certificate or diploma na muda wa application ndio huu till August.....
Tembelea website ya NACTE utaona vyuo chagua ukipendacho kwa vigezo vyako then fanya application chap..
Si wanaomba direct chuon
 
Apply for pharmaceutical science certificate or diploma na muda wa application ndio huu till August.....
Tembelea website ya NACTE utaona vyuo chagua ukipendacho kwa vigezo vyako then fanya application chap..
Mkuu samahani, naomba maelekezo ya namna ya kufanya maombi kupitia Nacte mwaka wa masomo 2019/2020 nimetafuta hiyo link siioni.
 
Back
Top Bottom