Mgazini
JF-Expert Member
- Jan 31, 2013
- 293
- 39
jamani naombeni msaada wenu katika suala nzima la usajili wa shule-sekondari,hatua za awali nimemaliza na ikiwemo kupata barua rasmi ya kuendelea na ujenzi,lakin tatizo ni kwamba ujenzi umeisha ikiwemo madarasa ma 4,maabaara(pamoja na vifaa vyake),choo pamoja na ma bweni,jambo ambalo linafanya niombe msaada ni kwamba toka mwaka jana mwezi september najaribu kuomba wataalamu waje kuangalia majengo na miundombinu ya afya matokeo yake mpaka leo hawajafika namm lengo langu lilkuw ni kuanza masomo ya sekondari mwaka huu,walengwa wakubwa wa mimi kuwahudumia ni orphans na watoto wengine watakao jilipia maana kazi hii ya kuwahuduma watoto yatima nimeanza mda mrefu sana na sasa nataka niwe nawahudumia kupitia shule yangu lakini naona mchakato wa usajili unkuwa na vikwazo ambavyo hata sivielewi vinatoka wapi,kwa hatua hiyo niliyofikia ya ujenzi itawezekana kwa mwaka huu kuanza kusajili wanafunzi na kuanza masomo,na kama inawezekana nifanyeje? document muhimu zote nnazo.