Kama umemaliza chuo pita hapa.

Diwani

JF-Expert Member
Oct 25, 2014
1,781
2,000
Kwanza hongera sana, mimi nipo kaa ajili ya kukutia moyo tuu, kwa sababu najua umesemwa na kutishwa sana kuhusu mtaa.

Ni hivi, watakaoumia sana huku mtaani ni wale ambao walienda chuo kusoma tuu kile ambacho waliomba kusoma, kosa lilianzia hapo, wengine walipata mikopo, its okay boom haitoshi, ila kuna pesa unaweza kumpa mtu fulani mwenye ujuzi ili ujifunze kupitia yeye, upate nafasi ya kujiandaa na maisha ya mtaani....

Hiyo sio shida, shida zaidi ni pale unapodhani hadhina pekee ni iyo elimu uliopata chuoni, that's so wrong buddy, mtaa unahitaji unyenyekevu na shuruba za hali ya juu, anaeandika uzi huu ni graduate wa mwaka jana, ila nina cha kukuambia ni kama nili maliza mwaka 2000, in short komaaa,

Kuna suala la kujitolea, usibweteke, najua unawaza biashara ila mtaji huna, achana kwanza na mahela hayo, yanapita tafuta kwanza mtaji watu, yaani CONNECTION, naam connection ni kisima cha michongo, ni kisima cha hela, tuliza kichwa, utaambiwa msomi asichague kazi, ila hii kauli huwa inanikera, since kama msomi inabidi uwe mbunifu, nchi haiwezi kusonga kama wote tutabeba tofali, jamii kupitia kodi ilikupeleka shule kwa lengo la kuleta mbinu, michongo na shughuli mpya.

Ubunifu wa michongo yote hii, inapatikana kupitia changamoto mbali mbali, lakini ni lazima kwanza ukutane nazo, let me tell you, ukiwa umejifunika shuka huna changamoto utakutana nayo ikakupa njia mpya ya kufanya mambo, amka hapo ulipo, tafuta kujuana na watu kuliko kujuana na hela, ukiendekeza hela kwa wakati huu ambao wengi ni vijana wadogo yaani early 20's utaipoteza, kwanini? Kwa sababu huna mchongo wa maana, kwanini? Kwa sababu hukujuana na watu mbali mbali wakupe ideas za kufanya, ni kwa sababu ulilala home. It's worst.

Kuna kuwahi maisha, kukimbilia kupanga, it's good, ila ueleweke kwanza, subira, pita Facebook sasa hivi uone watu wanavyouza vitu vyao vya ndani , sikukatishi tamaa, maana yangu nataka usikurupuke, tuliza akili, fanya mpango, toka slowly, namaanisha tafuta kipato cha kueleweka, kapange kwa lengo la kutafuta changamoto za maisha ili zikujenge, sio upate uhuru wa ku***** watoto wa watu lazima upoteane.

Ni hayo tu.
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
59,952
2,000
Kwanza hongera sana, mimi nipo kaa ajili ya kukutia moyo tuu, kwa sababu najua umesemwa na kutishwa sana kuhusu mtaa.

Ni hivi, watakaoumia sana huku mtaani ni wale ambao walienda chuo kusoma tuu kile ambacho waliomba kusoma, kosa lilianzia hapo, wengine walipata mikopo, its okay boom haitoshi, ila kuna pesa unaweza kumpa mtu fulani mwenye ujuzi ili ujifunze kupitia yeye, upate nafasi ya kujiandaa na maisha ya mtaani....

Hiyo sio shida, shida zaidi ni pale unapodhani hadhina pekee ni iyo elimu uliopata chuoni, that's so wrong buddy, mtaa unahitaji unyenyekevu na shuruba za hali ya juu, anaeandika uzi huu ni graduate wa mwaka jana, ila nina cha kukuambia ni kama nili maliza mwaka 2000, in short komaaa,

Kuna suala la kujitolea, usibweteke, najua unawaza biashara ila mtaji huna, achana kwanza na mahela hayo, yanapita tafuta kwanza mtaji watu, yaani CONNECTION, naam connection ni kisima cha michongo, ni kisima cha hela, tuliza kichwa, utaambiwa msomi asichague kazi, ila hii kauli huwa inanikera, since kama msomi inabidi uwe mbunifu, nchi haiwezi kusonga kama wote tutabeba tofali, jamii kupitia kodi ilikupeleka shule kwa lengo la kuleta mbinu, michongo na shughuli mpya.

Ubunifu wa michongo yote hii, inapatikana kupitia changamoto mbali mbali, lakini ni lazima kwanza ukutane nazo, let me tell you, ukiwa umejifunika shuka huna changamoto utakutana nayo ikakupa njia mpya ya kufanya mgambo, amka hapo ulipo, tafuta kujuana na watu kuliko kujuana na hela, ukiendekeza hela kwa wakati huu ambao wengi ni vijana wadogo yaani early 20's utaipoteza, kwanini? Kwa sababu huna mchongo wa maana, kwanini? Kwa sababu hukujuana na watu mbali mbali wakupe ideas za kufanya, ni kwa sababu ulilala home. It's worst.

Kuna kuwahi maisha, kukimbilia kupanga, it's good, ila ueleweke kwanza, subira, pita Facebook sasa hivi uone watu wanavyouza vitu vyao vya ndani , sikukatishi tamaa, maana yangu nataka usikurupuke, tuliza akili, fanya mpango, toka slowly, namaanisha tafuta kipato cha kueleweka, kapange kwa lengo la kutafuta changamoto za maisha ili zikujenge, sio upate uhuru wa ku***** watoto wa watu lazima upoteane.

Ni hayo tu.
The saga continues
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom