Three idiots
New Member
- Apr 26, 2020
- 2
- 0
Mtu anaanza kusoma tu electronics anakutana na multistage amplifier.
Kabla ya multistage kuna vitu vya msingi sana ambavyo mwanafunzi anabidi avielewe na hawa wanafunzi wa form six sasa hivi hawajavisoma kipindi cha form 4. Ikiwemo Gain katika transistor na power inayopatikana katika transistor. Lakini kingine cha msingi kabisa ni load line ambapo inaelezea signal inabidi iweje ili tuweze kupata output signal ambayo haijaweza kuharibiwa . Nyie mmeenda moja kwa moja kuunganisha transistor mbili .
Makosa yapo mengi inabidi utafute material mengine au vitabu vingine ili kuweza kuelewa vizuri baadhi za sehemu mlizoandika humo .
Sehemu ya kwanza
Huu mchoro wa Direct coupling haupo sawa .inabidi Collector awepo na resistor yake ili tuweze kwenda kuunganisha na trasistor ya pili.
Haya maelezo hayapo sawa.
Class A power amplifier hamjaelezea na haipo , alafu mnasema kwa tulivyokielezea class A power amplifier.
Unawezaje kusema kwa tulichokiona kwenye class A power amplifier na hujakielezea ?
Hii mchoro hapo chini haupo sawa.
We uliyekuwa unaweka tu hii mchoro unadhani tunatumia NPN transistor tu ( unacopy na kupaste tu) .sijui hata kama ulikuwa unaelewa unachokichora.
Ntarudi tena kuendelea simu imeisha charge na umeme Tanesco wamefanya yao .
Hii electronics mliyoiongeza kwenye mtaala mpya na imani nyie wenyewe hamjui kinachoendelea .