Shule ya Msingi Upendo, iliyopo Wilaya ya Ubungo, eneo la Mbezi karibu na Roundabout ya Goba, ina utaratibu unaowalazimisha wazazi kugharamia shughuli ambazo zinapaswa kufafanuliwa na mamlaka...
Wahitimu wa ngazi ya Diploma kwa mwaka wa masomo 2025/2026 tunakabiliwa na changamoto ya kushindwa kuomba nafasi za masomo ya Shahada kwa mwaka huu kutokana na matokeo yetu kutokuwa yamewekwa...
Kwenye maisha yetu ya kila siku huwa tunapitia hali ya kutaka kukua lakini inashindikana kwa sababu ya mazoea yetu ya kila siku......
Ni rahisi sana kujenga tabia inayokurudisha nyuma lakini ni...
Hoja ya Mdau baada ya tangazo hilo 👇🏻
Mmh, hili ni ongezeko kubwa sana la gharama kutoka 97,400/= hadi 255,400/=, sawa na ongezeko la zaidi ya 100%.
Awali gharama za hosteli zilikuwa takribani...
Habari za jioni,
Rafiki yangu anataka kurudi Tanzania kutoka South Africa na watoto wake wawili. Kwa madarasa ya huko wote ni seniors wako grade 8 and 10.
Msaada kwa yafuatayo:
Nini azingatie...
Licha ya eneo hilo kuzungukwa na viwanda vingi, shule hiyo haina samani za kutosha kwa wanafunzi wala walimu. Ukifika shuleni hapo, hali iliyopo inasikitisha.
Je, Mkurugenzi na Meya wa Manispaa...
Habari za muda huu.
Tunaomba Serikali na mamlaka husika, hususan Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS), kuangalia uwezekano wa kuongeza idadi ya wanafunzi wanaodahiliwa...
Mambo ya kubishana chuo gani kimeiva, chuo gani kinatoa wanafunzi cream, n.k. huwa yanaishia vyuoni.
Baada ya kumaliza chuo kama huna connection, je chuo ulichosoma kinakuboost upewe kipaumbele...
Naishi Mkoa wa Singida, naomba kuwasilisha changamoto zinazowakabili wanafunzi wa Kidato cha Tano na Sita katika MUNGUMAJI SECONDARY SCHOOL, Singida Mjini. Mdogo wangu alifaulu kujiunga na shule...
Albert Bandura (1960) alikuja na nadharia ya social learning theory. Hii ni nadharia ambayo imetengenezwa na Kuonesha namna ya kujenga tabia mpya.....
Albert Bandura amefundisha juu ya umuhimu wa...
Vijana wengi nikiwemo mimi mwenyewe ni wahanga, tunakosa fursa na tunabanwa na kujiunga vyuo vikuu kusoma degree baada ya kuhitimu diploma za afya kama ifuatavyo.
Mtu unasoma Diploma in Clinical...
Habari za muda huu wakuu
Naomba ushauri, mtu mwenye diploma ya forensic science anaweza kusoma degree ipi hasa kama anataka kujikita kwenye uchunguzi wa maiti
HESHIMA MBELE wakuu.
Kama mnavyojua kuwa mwezi wa saba umefika na tayari wale wanafunzi ambao walifaulu kwenye mtihani wa NECTA mwaka, wengine wanaenda kidato cha tano na cha sita huku wengine...
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ni chuo bora Tanzania. Kiko mbali mno kwa ubora kulinganisha na vyuo vingine. Kikubwa zaidi ni kuwa wanaodahiliwa Mlimani ni vipanga watupu. Bila Div One & Two ni...
Habari,
Kuna kero kuhusu kozi ya Industrial Engineering Management inayotolewa na Chuo Kikuu cha Mzumbe. Ajira zinazohusiana na kozi hii hazijawahi kuonekana kwenye Ajira Portal, licha ya kuwa...
Umemaliza kusoma diploma ya clinical medicine miaka walau mitatu iliyopita. Ukapiga kazi ukiwa na ndoto ya kuongeza elimu. Ila serikali wakarudisha advanced diploma of clinical medicine (AMO). Je...
Nina changamoto, nilihitimu CHUO KIKUU IRINGA fani ya Utalii (BACAT) -2024, tukiwa hapo kuna fedha za ada tulilipa na kuzidisha kwa kuwa Bodi ya Mikopo ilichelewa kufanya malipo, hivyo mpaka...
Habari zenu
Naulizia hapa wapi panafaa niende kusoma na penye unafuu wa soko la ajira
Bachelor degree in accounting and transport finance-NIT
Bachelor degree in Banking and finance -CBE
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.